jiwe amekuja kutukumbusha kufanya kazi, hakika jiwe anatupenda.Jiwe katika ubora wake
Tuendelee kuomba uwepo wa pumzi tu mkuu maana haina kodiMkuu hahahaha naona hizi zama ni zama mbaya sana kuliko zama nyingine zilizowahi tokea
Me siombi pooo ngo'ooooooo mpaka vikatikeHahahaha havikatiki mkuu vitakaza mpaka tuombe poooo
Kichaa kishapanda hakuna namnaJiwe katika ubora wake
Anatupenda sana ila upendo wake ili unogo zaidi basi awapae vijana ajira afungulie nafasi za kazi vijana ,na alegeze masharti ya kodi vijana wajiajiri au unasemaje mkuujiwe amekuja kutukumbusha kufanya kazi, hakika jiwe anatupenda.