Siafiki hilo mkuu.
Tuhuma ziende kwa wanunuzi wa vyuma chakavu wananunuaje kitu kinajieleza kabisa? Kuna siku tumeenda kazini bango linaloonyesha jina la kampuni halipo wamelikuta sokota linapimwa na maandishi yake ni halali hiyo? Wangekuwa hawanunui huo wizi usingekuwepoInasikitisha sana tena alama hizo zikikatwa katika barabara inayoendelea kujengwa mjini Tabora.
Uzalendo ni dhana moja pana sana
Mkuu hapo upo sahihi kabisa nami. Haiwezekani bango tena la ishara za barabarani bado wafanyibiashara ya vyuma chakavu wanapokea! Hivi hatuna taasisi ya kufuatilia uhujumu huu kwani inauma kuona barabara bado inajengwa na mkandarasi tena wa nje akiweka bango la ishara linakatwa!Tuhuma ziende kwa wanunuzi wa vyuma chakavu wananunuaje kitu kinajieleza kabisa? Kuna siku tumeenda kazini bango linaloonyesha jina la kampuni halipo wamelikuta sokota linapimwa na maandishi yake ni halali hiyo? Wangekuwa hawanunui huo wizi usingekuwepo
Inasaidia sana hii.Kuna Muda huwa nakubaliana na baadhi ya sera za Mugabe..Zimbabwe hakuna ununuzi wa chuma chakavu anasema ni uharibifu wa Mazingira..magari yalioungua Moto kando ya bara bara ni mengi sana kazi ya kulitoa ni wao sio raia..kutoa kitu chochote hapo ni kesi..
Ha ha ha! Una utani wa ngumi wewe.Huyo atakuwa masawe, kapewa hela ya bomba, kaenda kung'oa barabarani...