Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi zifuatazo ili Taifa likapate kukombolewa.

1. Mahakama
2. TAKUKURU
3. Ofisi ya DPP
4. Tume ya Taifa ya Uchaguzi
5. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
6. TISS
7. Polisi
8. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
9. Jeshi la Wananchi
10. Utumishi wa Umma generally
11. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

No Reforms No Election ✊️ ✌️
 
Tasisi zote kabisa za Umma zinapaswa kufanyiwa reforms za hali ya juu kabisa, tukianzia juu kabisa katika Ofisi ya Rais Ikulu.
 
Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi zifuatazo ili Taifa likapate kukombolewa.

1. Mahakama
2. TAKUKURU
3. Ofisi ya DPP
4. Tume ya Taifa ya Uchaguzi
5. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
6. TISS
7. Polisi
8. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
9. Jeshi la Wananchi
10. Utumishi wa Umma generally
11. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Kazi unayo mwaka huu
 
12. Maokoto (Makusanyo) ya Mkoa yabakie Mkoa husika.

Mikoa mingi inagenerate capital ila unaikuta iko choka mbaya.
 
Mabadiriko ya katiba mpya yali bebwa na wana mtandao, hutopata nafasi kama bado wanaishi.
 
Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi zifuatazo ili Taifa likapate kukombolewa.

1. Mahakama
2. TAKUKURU
3. Ofisi ya DPP
4. Tume ya Taifa ya Uchaguzi
5. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
6. TISS
7. Polisi
8. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
9. Jeshi la Wananchi
10. Utumishi wa Umma generally
11. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Nimeyaongelea huku
 
Mabadiriko ya katiba mpya yali bebwa na wana mtandao, hutopata nafasi kama bado wanaishi.
Inawezekana ila haitakuwa rahisi
 
Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi zifuatazo ili Taifa likapate kukombolewa.

1. Mahakama
2. TAKUKURU
3. Ofisi ya DPP
4. Tume ya Taifa ya Uchaguzi
5. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
6. TISS
7. Polisi
8. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
9. Jeshi la Wananchi
10. Utumishi wa Umma generally
11. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Hakuna kosa lilifanyika kama system ya nchi hii kuruhusu chama kimoja kukaa muda mrefu hivi madarakani, tena kwa shuruti. Mara nyingi machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio hukitoa chama cha aina hii madarakani.
 
Back
Top Bottom