Tatizo Hilo lipo miaka nenda rudi!!! Aisee sio kujaa tu hata wanafunzi wanachangia uchafu na kuziba kwa vyoo! Wakati nasoma nilikuwa najiuliza kuna faida gani ya kujidai wasomi hata matumizi ya kistaarabu yanatushinda, lakini pia vyoo havina watu wa kusafisha makini... Inaita aibu sana na kinyaa.
Hivi nyie mnaenda Chuo Kikuu Ku.NYA au kusoma? kutwa kucha mnalalamika VYOO kwani mnasomea vyooni? Sijawahi kusikia mtu analalamika Maktaba hakuna vitabu vya kutosha, up-to date journals au upungufu wa wahadhiri. Nyie mmekalia VYOO na KANTINI tena unaweza ukakuta huyu aliyeandika hapa anasoma BA KISWAHILI na Mkopo kapata 100% sasa akili yake inawaza kula tu ndo maana muda wote anafikria wapi ataenda kubwaga uhar.o wake. Acheni Ujing.a Nyie pigeni shule pamoja ubovu wa vyoo UDSM imezalisha watu maarufu duniani ikiwemo Marais kadhaa hivyo kuendelea kulalamika vyoo vyoo hakutabidilisha kitu piga shule ukiwa na haja kimbilia Porini kama wenzako maisha yanaenda Maliza shule uigie mtaani ukifika huko jenga choo chako sasa.Hapo chuoni unapita tu
We umeenda chuo kusoma au kunya?

Umechukua hatua gani kutoa taarifa rasmi kwa uongozi wa Chuo au DARUSO? Au unategemea wapite humu JF kuisoma?
Nikiwa nimejiunga UDSM mwaka huu kwa ajili ya kuongeza Elimu toka nimeingia hapa mtu ukibanwa na haja inabidi ujifikirie mara mbili ama uende porini (Hasa Pori lile la Kuelekea Changanyikeni au ukimbilie Mlimani City, Jana nilibanwa na haja kubwa kila choo ninachokwenda KIMEJAA?KUZIBA nilianza kule COET, kisha nikaja Botany, Maktaba, SRs, Mathematics, Physics vyote vimeziba/kujaa hivyo huwezi kukitumia. Ninachjiuliza je Uongozi wa Chuo Kikuu ualiona hili? juma ya 15,000 mlionao na hv vyoo kujaa hamuoni ni hatari? mnataka tukajisaidie porini mpaka lini? bora Sisi Wanaume tunaweza kujistiri huko porini zaidi nawaonea huruma kina dada. Na hali zao si rahisi kusthimili seemu yenye tatizo la vyoo.
Walimu wa chuo kikuu Dsm wanakesha kwenye mitandao wakictriticize serikali, kumbe wao kusafisha vyoo tu hawawezi!!!
Sasa unazungumzia nini, vyoo kuziba au chemba kutiririsha maji kwenye mifereji? Chemba kutiririsha maji kwenye mifereji ni sehemu ya solution ya kuzibua vyoo, kwa hiyo tuvumilie kwa muda hiyo harufu kwani matokeo yake yatasaidia kuwa na vyoo visafi....Ukishuka pale Bondeni unaelekea COET kuna chemba mbili zimepasuka hii nadhani ni wiki ya pili au ya tatu sasa na hili nalo mpaka waambiwe?Ukisimama tu pale utawala,unapokelewa na harufu ya vyoo vichafu na chemba zilizoharibika hata hili nalo mpaka waambiwe?!
walimu wa chuo kikuu dsm wanakesha kwenye mitandao wakictriticize serikali, kumbe wao kusafisha vyoo tu hawawezi!!!