Vyoo vya UDSM/SRs ni aibu

Aseee kifua chako kimejaa dharau....
Kichwa chako kimejaa uji.nga...
Moyo wako umejaa wivu...
Fahamu zako zimejaa tope...
Mdomo wako umejaa pumba...
Vidole vyako vimejaa lawama...
Macho yako yamejaa ....

Nimekupenda kwa mashairi. hebu chukua hii 'mwaaaaaaaaaaaaa'
 
What a bastard story! Mleta mada Udsm unaijua ndani ya moyo wako!
Kama hukupata nafasi ililie nafsi yako...usitulilie sisi!
 
Hivi kumebadirika eeee zamani wale wafanyausafi walikuwa wanajitahid ingawa kulikuwa na warembo wamezoea kunya pembeni ya matundu ya choo
 
Hivi kumebadirika eeee zamani wale wafanyausafi walikuwa wanajitahid ingawa kulikuwa na warembo wamezoea kunya pembeni ya matundu ya choo


Warembo mliopita udsm njooni mjitete, kumbe nyie ndio mlianzisha haka kamchezo...!!
 

umenifanya nimecheka na kutabasamu kama jina lako. Ila wamezidi kama usemacho ni kweli ni budi kuwapa makavu uso kwa uso wote uliowataja
 

Bro huko kwenye vyuo bora (vya kata) ulivyosoma hakukuwa na somo la adabu??
 
wasomi wa siku hizi nikazi sana kufanya mazingira yawe safi, hata ukushafisha wapo tu wakuchafua, mpaka sheria kali zaidi kama kufukuzwa chuo na camera za cct ziwekwe kila mahali ndo ndo mazingira ya vyou yatakuwa masafi
 

andreakalimaUnajua maana ya Akili wewe?
Unafananisha graduate, tena wa UDSM na choo! That's too much best..Hapo kwenye Blue imedhihirisha akili yako ilivyo! Pengine ndiyo kama hiyo kwenye Red!

Mwisho, Chuo Kikuu tunaenda kufuata Elimu na sio choo! Alafu kwani umekatazwa kutumia vyoo vya Hostel au department?
 
kama baba yake waziri?
Nyie wapumbavu tena wajinga hata mnachokiongea hamkijui,tangu lin akili ya mtu ikafanana na choo, hvyo vyuo vyenu vya kata mlivyo soma ndo wamewafundisha judgement ya namna hiyo.Tena wewe hata chuo sjui kama umesoma na nkikubain hata uje omba kaz ofisin kwangu hupati,
 
kafie mbele huko ............
 

wewe kama kijana mwanaharakati mpenda maendeleo mpenda mabadiliko mwenye uchungu na maendeleo ya elimu umechukua hatua gani adi sasa ivi sababu maendeleo yanaanza na wewe au umeishia kunya kwenye jamvi umetuachia mimavi umeondoka unategemea nani atazoa.
 

Una chuki binafsi na UDSM,unaongea pumba mkuu,najua huenda nawe ulitamani kusoma UDSM lakini hukua na kigezo coz nina imani wengi wenu mlikua na ndoto hizo,you should advice uongozi wa chuo na wanafunzi kwa ujumla kuwa organized na ku take 100% resiponsibility ktk hili,ni kweli miundo mbinu ya choo UDSM(hasa main) haiko poa kabisa naungana na mtoa hoja!
 
Mimi nilisoma UDSM nikawa naishi Hall 2 chooni watu walikuwa wanaenda na gazeti kubwaaa kama MZALENDO au DAILY NEWS kabla hajanya anatandika chini ili mimavi isimrukie kisha anapanda juu ya choo akimaliza anajifuta na kusepa so baada ya muda vyoo vingi viliziba so watu wakawa hawanyi tena vyoo vya Mabwenini ikawa ama wanye vichakani au vyoo vya COET au Hill Park Restaurent au pale Chemistry department. UDSM ni uozo mtupu kwa usafi
 
Wengine walikuwa wanakunya kwenye mifuko ya Rambo na kurusha chini toka ghorofani mpaka chini
 

mmmh hiyo kubwa kuliko
 
Ndio "BIG RESULTS NOW" hiyo. Tunasema uongozi wa nchi hii umeenda likizo hamuelewi? Ukisomea mazingira machafu akili haishiki! Ila naipa heko Muhimbili hospitali (sio chuo maanake sijaingia).

Uchafu wa vyoo vya UDSM unahusiana nini na uongozi wa nchi mpaka unafikia kusema uongozi wa nchi umeenda likizo? Na hili utamlaumu Kikwete? Fikiri kwa kutumia kichwa
 
vijana wa UDSM wanawaza kununua SAMSUNG GALAXY na ku-flash choo sijui wanamwachia nani. Ukienda chooni unakuta wamejaza magazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…