UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Oct 17, 2013 942 566 Nov 5, 2017 #1 Unaingia chooni kachoo kadogo kanabana hata kugeuka huwezi.Huu ni uvivu au nini hata kusimama huwezi chooni ukiingia mlangoni mpaka ubebeshwe mfuko wa cement ndo uweze kuingia chooni.
Unaingia chooni kachoo kadogo kanabana hata kugeuka huwezi.Huu ni uvivu au nini hata kusimama huwezi chooni ukiingia mlangoni mpaka ubebeshwe mfuko wa cement ndo uweze kuingia chooni.
UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Oct 17, 2013 942 566 Nov 5, 2017 Thread starter #2 Note:Mfuko wa cement utakufanya uiname ili upite kwenye mlango mfupi wa choo.