Vyoo hivi vya wanaume nimevipenda bure!!

yani hapo ukimaliza kunawa tu bomba limehamia kwenye mwili mpk linataka kuchomoza kwa nje..
 
We acha tu, halafu ukutani kuna picha watoto/ke wanapima urefu wa nzakali kwa modoido, wengine wanapiga mic balaa. Yaani tukienda chooni na kurudi ni sheedah. Nilikutana na hiyo nilipobahatika kufika kwa waliendelea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…