MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 966
- 1,225
Habari wanajamvi
Baada ya kumaliza mishemishe zangu hapa mjini za kutafuta ugali wa kila katika kupekuapekua na kuperuzi mitandaoni nkaona hii habari ya wajeda ku exist kwenye maduka ya kubadili fedha huko Arusha maarufu kama FOREX.
Nimekaa kwenye TV hapa home leo mpka muda wa habari saa 2:00 si ITV, EATV, CHANEL 10, STARTV, CLOUDS, TV E, TABIBU TV WALA TBC walioonesha.
Je, hii sio habari au waandishi waliogopa kwenda kuwahoji wajeda waliokuwa kwenye maduka ya FOREX chuga kuhofia mchaka mchaka watakaopewa au habari ni za korosho tu?
NAWASILISHA
Soma >> https://www.jamiiforums.com/threads/arusha-maduka-yote-ya-kubadilishia-fedha-za-kigeni-forex-yasimamiwa-na-jwtz-wananchi-watakiwa-kwenda-benki-kuu.1510774/