Vyombo vya Usalama angalieni CWT hapo Jamhuri

Vyombo vya Usalama angalieni CWT hapo Jamhuri

Pole mkuu. Utakuwa umezidiwa, unagombea nafasi gani?Tupo tumefika piga kampeni vizuri.
 
Sasa kama ni Jamhuri mbona Takukuru wako jirani...!
 
Mkuu usijali wapo tayari humo na akili ya Taifa ipo ndani kabisa ya Mfumo hakuna kitakachoharibika
 
TAKUKURU nao wanakera sana, yani kila ishu ya rushwa mpaka watonywe. Kwa nini hawaitafuti wenyewe? Yaani wanakaa ofisini tu kusubiri kutonywa bila hivyo wanakaa kimya tu.

Aibu na iwe kwao.
 
TAKUKURU nao wanakera sana, yani kila ishu ya rushwa mpaka watonywe.Kwa nini hawaitafuti wenyewe? Yaani wanakaa ofisini tu kusubiri kutonywa bila hivyo wanakaa kimya tu.Aibu na iwe kwao.
Na akikamatwa mtu abanwe kwelikweli
 
TAKUKURU nao wanakera sana, yani kila ishu ya rushwa mpaka watonywe.Kwa nini hawaitafuti wenyewe? Yaani wanakaa ofisini tu kusubiri kutonywa bila hivyo wanakaa kimya tu.Aibu na iwe kwao.
Mbona Takukuru wapo kila mahali mnawatonya m nini?
 
Usidhofishe mzunguuko wa kiuchumi, acha nguvu ya fedha ifanye kazi!
 
Tulisha shauri hiki chama kifutwe,rushwa ,wizi,dhuluma,udanganyifu,ni sehemu ya hiki chama.chama hiki Hakuna faida kwa serikali Wala wanachama wake.
 
Tulisha shauri hiki chama kifutwe,rushwa ,wizi,dhuluma,udanganyifu,ni sehemu ya hiki chama.chama hiki Hakuna faida kwa serikali Wala wanachama wake.
Ingekuwa hivyo kingekuwa kimeshakula ban awamu hiii ila ukiona kipo elewa kuna vested interests.
Ila Walimu kuna mahali tunakwama sana mfano hivi zile hisa zetu mpaka leo hakuna gawio maana yake nini?
 
Kunatakiwa maisha mapya ya chama cha Walimu. #WalimuBilaCwtInawezekana
 
TUCTA ingekuwa na meno angalau ila CWT ndani ya TUCTA ni kama Bilgate na Marekani ndani ya Shirika la Afya Duniani.
CWT ni chama chenye maslahi binafsi ya zaidi ya tunavyofahamu. Ninaamini kubadilika inawezekana ila siyo kazi rahisi kwa sababu za kimfumo " system".

Mfumo wa CWT umefungamanishwa sana na mahusiano ya kimamlaka" power relations" kuna wakati inaonekana kama siasa ila ni siasa.

Walimu wamejawa chuki dhidi ya CWT na kupitia chuki hizo kuna wanaopitia hapo kwa kupandikiza mamluki wao ndani ya CWT.

Kuna maslahi mapana sana ya kimfumo ndani ya CWT ingawa inawezekana kupindua uelekeo wa upepo bado nasisisitiza siyo kazi rahisi na hakuna njia rahisi.
 
Back
Top Bottom