Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,413
- 2,275
Sasa wewe ulitaka inzi ndo asimamie kuuzwa kwa asali? Hii ni akili kweli?
Na wewe nakushangaa kama mleta hoja kwani ulishawahi kuona wapi mwizi akajipa adhabu ya kukata mkono wake unaompa chakula chake cha kila siku au mkuu niongeze sauti?