Wakishafuzu huko JIHA... basi kamanda siro na deputy wake Mombasasa waanze kujiandaa maana hao watoto wataleta "fire and fury"Watoto 1300 Kibit Hawajapotea Kama Wangepotea Bas Wazaz Wao Wangeandamana Na Wangejulikana Waliko Na Ukichek Ki Idadi Ni Weng Sana WAZAZ WAO WANAJUA WATOTO WALIPO PIA ULE MKOA UNAWAFUASI WA DINI MOJA WENGI KULIKO DINI NYINGINE HIVYO INAWEZEKANA WAPO ,,,,,.......JIHA..
Lakini wamepotea kwenye jamiiWatoto 1300 Kibit Hawajapotea Kama Wangepotea Bas Wazaz Wao Wangeandamana Na Wangejulikana Waliko Na Ukichek Ki Idadi Ni Weng Sana WAZAZ WAO WANAJUA WATOTO WALIPO PIA ULE MKOA UNAWAFUASI WA DINI MOJA WENGI KULIKO DINI NYINGINE HIVYO INAWEZEKANA WAPO ,,,,,.......JIHA..
Kinachotakiwa Ni Kuwafatilia Uko Walipo Na Kukatisha Hayo Mafunzo Off Coz Ni Wengi Nahis Wanafundishwa Uga..Wakishafuzu huko JIHA... basi kamanda siro na deputy wake Mombasasa waanze kujiandaa maana hao watoto wataleta "fire and fury"
Wakishafuzu huko JIHA... basi kamanda siro na deputy wake Mombasasa waanze kujiandaa maana hao watoto wataleta "fire and fury"
Uko sahiii kabisa mkuuu.liissu alivyowambia hakuna aliye salama walidhani haiwahusu.wamefuga jini sasa lina wamaliza.Vyombo Vya Habari Vimechangia Kupotea Kwa Mwandishi Azory Gwanda Kwasababu Viliamua KUYAFUMBIA MACHO Matukio Ya Watu Kuokotwa Kwenye Sandarusi Coco Beach, Watoto 1300 Kupotea Kibiti, Watu Kutekwa Hovyo Kila Siku, Laiti Kama Wangekemea Vitendo Hivi Leo Mwahabari Wao Asingepotea
Kuna wakati walipotea watu wa Kawaida..Waandishi hawakuwasemea, walitekwa wengi bado walikuwa kimya. Kwasababu hii imekuwa dhambi tuliyoilea Leo ametekwa mwenzao wameona madhira yake. Sishabikii utekwaji huu. Ila natamani mjue kwanini hamkupaswa kuwa waoga wakati wakitekwa wengne
mr mkiki.
Kwahiyo siro ni muongo?Watoto 1300 Kibit Hawajapotea Kama Wangepotea Bas Wazaz Wao Wangeandamana Na Wangejulikana Waliko Na Ukichek Ki Idadi Ni Weng Sana WAZAZ WAO WANAJUA WATOTO WALIPO PIA ULE MKOA UNAWAFUASI WA DINI MOJA WENGI KULIKO DINI NYINGINE HIVYO INAWEZEKANA WAPO ,,,,,.......JIHA..
Hayo ni maneno tuHii ya watoto 1300 ikoje? Mbona tunaichukulia simple angali ni taarifa nzito?
Kwa Hyo Ulitaka Aseme Pale Pale Mbele Ya Hazala Kwamba Wameenda Kujifunza Kitu Flan Acha Kutuaibisha Ma Great Thinker Mwenye Akili AmenielewaKwahiyo siro ni muongo?
Kwahiyo siro ni muongo?