chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,537
Mkubwa 2300 bado mbali sana pia.Mkuu mwaka 3000 mbona mbali sana, hapo 2300 sidhani kama kuna member wa Jf atakae kuwa hai kwa wakati huo.
Ila natamani niwepo duniani hadi miaka hiyo nishuhudie mabadiliko chanya ya teknolojia hasa katika afya, uchukuzi, mawasiliano, utafika katika anga za mbali, kilimo na ufugaji.
Huu ni mwaka 2021,ina maana mtoto aliyezaliwa leo mwaka 2121 tarehe kama ya leo atakuwa anatimiza miaka 100 kamili.
Maana yake ni kuwa ambao tupo muda huu duniani na mishe zetu,kipindi hicho hata makaburi yetu yatakuwa yamejaa magugu!.