baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,479
- 12,092
Wananchi kwa pamoja tunatakiwa kuungana kwa pamoja bila kujali itikadi za vyama wala dini zetu kama kweli tumeumizwa na vifo vya wapendwa wetu basi vyombo vya dola baadhi ya Taasisi mihimili vinaitaji kukombolewa.
Tumeona mihimili kama Mahakama hii imebaki kutumiwa na watu au Polepole anawaita wahuni kuumiza watu wasio wapenda au wanaotishia maslahi yao tena sio muhimili huru unaoweza kujisimamia na kutenda haki
Mfano tu mdogo tumeona mahakama inavyotumika kumnyanyasa Lissu tumeona ilivyotumika kumnyanyasa Mbowe wengi na wengi ukiwa na Pesa huwezi kufungwa kiufupi huu muhimili unaitaji kukombolewa husitumike tena kukandamiza watu au wananchi
JWTZ tumeona hii taasisi baada ya maandamano CDF ametoka na kutoa kauli Tata dhidi ya wananchi wake ambao ndo wanakatwa kodi ndo wanamlipa mshahara kwamba watoto wa watu ambao wanadai haki zako kwa mujibu wa katiba kwamba ni wahalifu vijana ambao walikuwa wanapinga vitendo vya utekaji na Ufisadi.
Police Tanzania hao ndo kabisa wameoza tumeona wanawinda wananchi kama wanawinda wanyama pori kabisa kwa risasi za moto wananchi ambao hawana siraha yoyote rushwa Utapeli kubabikia watu kesi police
Tiss hawa ndo kabisa wametufikisha hapa baada ya kufanyia kazi mambo ya maana mambo ya Msingi wako busy kuangaika na wakosoaji wa Rais na kubuni mipango ya kudhoofisha Upinzani wakati Chama tawala kiko mahututi Uchumi uko hoi wao wako busy kushinda kwenye mitandao na kutisha watu
Bunge tumeona likitumika kupitisha mikataba ya ovyo kabisa kiasi kwamba unajiuliza kweli tuna bunge
Umefika hapa kwasabu ya mihimili na taasisi nyingi kutumiwa na wahuni mpaka kusababisha vifo vya ndugu zetu Ukombozi unatakiwa tuvikomboe