Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,274
- 64,404
Kwa hiyo, huwa anazikwa navyo marehemu?Akili yake ndiyo iliyompatia vyeti
Havizikwi, inabaki kwenye files zakeKwa hiyo, huwa anazikwa navyo marehemu?
Inabaki kama picha zake, kwenye albam?Havizikwi, inabaki kwenye files zake
Mimi nimerithi vyeti vya marehemu baba yangu, alikuwa dakitari vipi niajiriwa udokta utakubali nikutibie? nimeishia lapili BWakuu habari?
Huwa najiuliza maswali mengi, kwa nini mtu anapofariki, huwa tunakimbilia kurithi mali alizoacha marehemu, kama vile; majengo, viwanja, vyombo vya usafiri, fedha n.k
Lakini hatukimbilii kurithi vyeti alivyoacha marehemu, iwe ni masters, Phd, u-profesa n.k
Nataka nijue, vile vyeti vya taaluma ya marehemu nani huwa anarithi?
ha ha ha, ngoja tusubiri majibuMimi nimerithi vyeti vya marehemu baba yangu, alikuwa dakitari vipi niajiriwa udokta utakubali nikutibie? nimeishia lapili B
Unavyoona ugumu wa kurithi vyeti, pia iwe hivyo hivyo na kwenye kurithi mali za marehemu.waliokuwa wanapata 13 kwenye mitihani haya ndio maswali yao
Ndo nini sasa ?Unavyoona ugumu wa kurithi vyeti, pia iwe hivyo hivyo na kwenye kurithi mali za marehemu.
Kwa nini tugombanie mali sasa?Ndo nini sasa ?