Vyeti vimeokotwa

Vyeti vimeokotwa

diaz

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
80
Reaction score
9
Habari...tumeokota vyeti vya ndugu GODFREY J SIRINGWE aliyesoma O Level Majengo Sec Moshi na kuhitimu October 2011 na kujiunga na UDSM kwasasa ... Kwa yeyote anayemfahamu Tafadhali awasiliane na 0718818695 /0718199793 kwa msaada zaidi namna ya kuvipata...
Tunomba tuusambaze ujumbe huu magroup mengine ikiwa ni kumsaidia ndugu kuvipata vyeti vyake
Ahsante
 
naamini atavipata maana tangazo lipo kila kona....ubarikiwe uliyejitoa kusambaza nili kumsaidia ndugu mhusikaq
 
Hongera Xana Kwa Mchango Wako , Mungu Akubariki Zaidi Ya Habari Njema Uliyotoa
 
Na ahimidiwe MUNGU unayemwabudu,maana nimemwona kupitia kwako kwa uamnifu kiasi hiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom