Wale waliotumia vyeti vya watu wwngine kwenda vyuoni wakapata ujuzi nadhani sio wabaya. wabaya ni wale wasiokuwa na ujuzi wanaotumia vyeti vya taaluma vya watu wengineJe lawama utapeleka wapi kwa wale wanaopeleka vyeti makazini direct kuwa wamesoma hadi chuo kumbe hawajapita huko au kwa wale wanaotumia vyeti vya watu, kwaiyo hili suala ni mtambuka.