Vyeti feki: Ni kilio kwa walionaswa na vicheko kwa Hazina, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Mifuko ya Hifadhi ya Jamii haina haki ya kumnyima mwanachama michango yake kwa kigezo chochote hata mwanachama akifungwa, siku akitoka anaenda kuchukua michango yake. Mifuko inachohitaji ili kuruhusu mwanachama kuchukua michango yake ni uthibitishi kuwa mwanachama hayuko kazini, iwapo mfuko hauruhusu mafao ya kujitoa, mwanachama atasubiri afikishe umri wa kisheria na kisha anapewa mafao yake.

Vv
 
Lkn si vyema wakaachwa bila stahiki zao,

Kuna mwanamama mmoja yeye ni Nurse Attendant huu ni mwaka wa 31 alafu yuko kwenye list ya Kariuki,ukimnyima stahiki zake sio tuu kumuonea bali unaweza kusitisha hata uhai wake.

Mnyonge mnyongeni lkn mpeni haki yake.

Apewe haki gani?

kufoji cheti ni kosa kisheria.

Huyo anatakiwa afunguliwe mashtaka kabisa.
 
Lkn si vyema wakaachwa bila stahiki zao,

Kuna mwanamama mmoja yeye ni Nurse Attendant huu ni mwaka wa 31 alafu yuko kwenye list ya Kariuki,ukimnyima stahiki zake sio tuu kumuonea bali unaweza kusitisha hata uhai wake.

Mnyonge mnyongeni lkn mpeni haki yake.
haki aliyopewa ni hiyo ya kufukuzwa...akitaka haki zaidi,basi miaka 7 jela itamhusu.
 
Busara Itumike,hawa wafanyakazi waliofukuzwa ni Watanzania wenzetu ni Baba zetu,Mama zetu,Kaka zetu Na Dada zetu,japo kufoji vyeti ni makosa lakini hakuna Mkamilifu kila mmoja wetu amewahi kufanya or pengine bado tunafanya makosa mbali mbali kwa kujua or kutojua! Ikumbukwe hawa watumishi wenzetu pamoja Na kuwa Na vyeti feki lakini wamelitumikia Taifa hili kwa nia njema kabisa Na pengine kwa ubora kuliko hao wenye vyeti orijino,MY TAKE,wapewe tu viinua mgongo vyao ili wavitumie kama Mitaji ktk Maisha mapya ya Uraian ili kuepusha vifo visivyo vya msingi na kuzalisha mayatima zaidi
 
Lkn si vyema wakaachwa bila stahiki zao,

Kuna mwanamama mmoja yeye ni Nurse Attendant huu ni mwaka wa 31 alafu yuko kwenye list ya Kariuki,ukimnyima stahiki zake sio tuu kumuonea bali unaweza kusitisha hata uhai wake.

Mnyonge mnyongeni lkn mpeni haki yake.
Namshauri aende mahakamani kama anahisi ameonewa
 
Back
Top Bottom