Vyeti feki: Muleba yakabiliwa na upungufu wa watumishi 2,588; huduma zasimama

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,884
FB_IMG_1494171875269.jpg
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Wilaya ya Muleba mkoani Kagera yakabiliwa na upungufu wa watumishi 2588 katika idara mbalimbali baada ya zoezi la kuhakiki wa vyeti kwa watendaji wa serikali hali ambayo imesababisha kuzolota kwa kwa huduma za kijamii.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Be a best reporter my friend!!
Upungufu wa watumishi kwa kada mbalimbali Muleba, au halmashauri karibu zote Tanzania ulikuwepo hata kabla ya zoezi hili la uhakiki wa vyeti & Watumishi hewa.
Zoezi hili limeongeza idadi ya upungufu tu na si kwamba limeleta upungufu.
 
Anaendelea kuinyoosha Tanzania ili kuhakikisha ile ndoto yake ya Watanzania kuishi kama mashetani.

View attachment 505908 [HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Wilaya ya Muleba mkoani Kagera yakabiliwa na upungufu wa watumishi 2588 katika idara mbalimbali baada ya zoezi la kuhakiki wa vyeti kwa watendaji wa serikali hali ambayo imesababisha kuzolota kwa kwa huduma za kijamii.
 
View attachment 505908 [HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Wilaya ya Muleba mkoani Kagera yakabiliwa na upungufu wa watumishi 2588 katika idara mbalimbali baada ya zoezi la kuhakiki wa vyeti kwa watendaji wa serikali hali ambayo imesababisha kuzolota kwa kwa huduma za kijamii.

Kuna mpuuzi mmoja alikuja huku Na kusema eti watu wa kaskazini ndo walioongoza kwa kufoji Na kuweka majina 200 kasoro ili kuthibitisha,sasa ktk hawa ni wangapi wa kaskazini Na wangapi kanda ya ziwa,hebu njoo tens,
 
Kumbe wenye vyeti ni wachapakazi?

Nilitegemea katika zoezi hili viongozi waandamizi serikalini hasa wa wilaya na mikoa wangelitafuta ufumbuzi kimya kimya kuliko kuanza kulalamika.

Malalamiko ya viongozi kuhusu huaba wa watumishi eti kwa sababu ya vyeti feki ni sawa na kupingana na Mh.Rais, wakati mwingine kunaonesha jinsi gani wakuu wa idara na taasisi za umma ambavyo hakujipanga kimkakati kukabiliana na upungufu wa watumishi.

Cha kufanya ni kuandika upya orodha ya watumishi waliokuwa na vyeti feki na kuonesha ni idara IPI,cheo gani ili kama kuna wenye nia ya kuomba nafasi hizo wafanye hivyo Mara moja.

Majina yameandikwa kwa ujumla sana,hakuna details za kutosha,hivyo kusababisha sintofahamu nyingi na wakati mwingine kuwaibua viongozi waandamizi kusema ni chochote.
 
Sijui tunaende mbele au ndio tunarudi nyuma!!

SALARY SLIP, KUWA NA WATUMISHI WA UMMA WALIOGHUSHI VYETI NDIO KWENDA MBELE? NI SHARTI TUWEKE UZALENDO MBELE KWA KUKEMEA WIZI NA UJAMBAZI WA KITAALUMA. MAMA NA WAKE ZETU WAMEUWA HOSPITALINI KWA UZEMBE WA MANESI, WAGANGA NA WATU WA MAABARA. MSINGI WA TATIZO NI UKOSEFU WA WELEDI UNAOTOKANA NA KUIBA VYETI. HIVYO KWA SASA NDIO TUNAENDA MBELE.
 
Back
Top Bottom