Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? May mosi ibakaribia.

Screenshot_20240404-105504.png

Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
Yamefikia hapo. Latest updates
 
Walimu lilieni posho ndiyo kada pekee isiyo na posho Wala over time.Mbona wafanyakazi wengine wanapata nyie TU.
 
Walimu lilieni posho ndiyo kada pekee isiyo na posho Wala over time.Mbona wafanyakazi wengine wanapata nyie TU.
Wapo karibia robo tatu ya watumishi wote ndio maana inakua ngumu na haitawezekana kwa bongo! Unless watu waache kuiba pesa za umma makusanyo yaongezeke.
 
Back
Top Bottom