Vyanzo vipya vya mapato

Vyanzo vipya vya mapato

MANILABHONA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
462
Reaction score
351
Naomba mnisamehe wahusika kwa mawazo yangu. Hii ni katika kujaribu kuisaidia serikali kukusanya mapato na kupeleka huduma kwa wananchi. Naishauri serikali kufikiria kuanza kukusanya kodi kwenye biashara hii ambayo inaingiza mapato mengi sana lakini ina msamaha wa kodi-Biashara katika makanisa na misikiti, biashara ya kuhubiri injili/hotuba/mawaidha na kukusanya sadaka/ zaka nk. Hii biashara inaingiza fedha nyingi sana lakini sijasikia serikali inapata gawio kiasi gaani la mapato. Wabunge ishaurini serikali kuona eneo hili nalo kuna fedha za kutosha Nawasilisha
 
yaani kote huko mumeona hazitoshi mpaka na michango tunayoenda toa kanisani napo mnaitaka, daah
 
Can I pls ask why?? Acha atoe mawazo yake mkuu. Hawa ndio wale wale wanaoona kheri kuila rambi rambi hadi waimalize kuliko kumwachia mia mjane na yatima. Wanaona atapata ya kutokea huku wakiwa na ham akose ili wamdandie kabla hata ya hitma kusomwa
 
Ukiwa na akili ndogo utabeza uzi huu bila kutoa hoja mbadala.

Ikiwa semina na makongamano hayo yana positive impact kwenye maisha ya watu acha waendelee
Ikiwa huko makanisani na misikitini yanoyendele yana tija ..ebu tuache waendelee

Kinachonishangazaga sijawahi ona zoezi la monitoring and evaluation ya huduma hizi je kweli zinaleta impact talakiwa Vs uwekezwaji unafanywa na waumini hawa ambao wengi wao ni masikini.

Hivi hayo matangazo na vipindi vinavyorushwa kwenye Ma Tv. Vina matokeo chanya kwa watu au ndo kwa mtumishi kiongozi tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Can I pls ask why?? Acha atoe mawazo yake mkuu. Hawa ndio wale wale wanaoona kheri kuila rambi rambi hadi waimalize kuliko kumwachia mia mjane na yatima. Wanaona atapata ya kutokea huku wakiwa na ham akose ili wamdandie kabla hata ya hitma kusomwa
Sijaona maana yoyote kwa sadaka kutozwa kodi kwa maana inatumika kuendeleza miundombinu ya nyumba ya ibada na mambo mengine ya kiimani
 
Mkuu;
Sema hivi au shauri hivi; Kama hii serekali inataka kuokota kodi humo, basi iwajengee miundo mbinu, pia iwaajiri hao maimamu na wachungaji na makasisi. Kwa jinsi hiyo, watakuwa na haki ya kuokota kodi. Wataifishe misikiti na makanisa yaliyo tiyari ili kuweka fair play
 
Unadhani itawezekana na nchi yetu sio ya DINI
 
Kama nchi tumeshauriwa kwamba; tukitaka mapato kutoka kwa wamachinga, tuwape sehemu watakaa wauze vitu zao. Hivyo kama mnataka pato kutoka kwa manyumba ya ibaada, watengenezeeni majumba hayo muweze kuwapata. Wakija kuomba kibali ya mkutano, toza kitu kidogo. Hivyo mtapata kihalali sio mnangojea tu kusikiliza sauti inatoka wapi mnaenda na kibaba kudai changizo. Huo nao ni wizi tu tena wa kinguvu
 
Naomba mnisamehe wahusika kwa mawazo yangu. Hii ni katika kujaribu kuisaidia serikali kukusanya mapato na kupeleka huduma kwa wananchi. Naishauri serikali kufikiria kuanza kukusanya kodi kwenye biashara hii ambayo inaingiza mapato mengi sana lakini ina msamaha wa kodi-Biashara katika makanisa na misikiti, biashara ya kuhubiri injili/hotuba/mawaidha na kukusanya sadaka/ zaka nk. Hii biashara inaingiza fedha nyingi sana lakini sijasikia serikali inapata gawio kiasi gaani la mapato. Wabunge ishaurini serikali kuona eneo hili nalo kuna fedha za kutosha Nawasilisha
mawazo ya ibilisi siku zote yanapata washabiki kuliko ushabiki wa ligi kuu ya uingereza!!!!
 
Kama nchi tumeshauriwa kwamba; tukitaka mapato kutoka kwa wamachinga, tuwape sehemu watakaa wauze vitu zao. Hivyo kama mnataka pato kutoka kwa manyumba ya ibaada, watengenezeeni majumba hayo muweze kuwapata. Wakija kuomba kibali ya mkutano, toza kitu kidogo. Hivyo mtapata kihalali sio mnangojea tu kusikiliza sauti inatoka wapi mnaenda na kibaba kudai changizo. Huo nao ni wizi tu tena wa kinguvu
Mmh sawa mkuu
 
YANI UTOZE KODI KWENYE NON PROFIT ORG? TENA YA DINI? HUO NI UKOMO WA KUFIKIRI.
 
Mtoa maada mie nakuunga mkono hasa ibada za katikati ya wiki zitozwe tu kodi,kwanza sadaka ni chanzo cha conflicts kwenye nyumba za ibada. Na wataalam wa tiba asilia/waganga pia watoe kodi tu..

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Huwa wanasema ni hela za Mungu,hivyo hatuwezi gawana hela na Mungu.
 
Back
Top Bottom