Ngoja waitishe...ili rangi yao idhidi kujidhihirisha vizuri, wana CHADEMA muwajue wachumia tumbo.Inasikitisha, G55 Press conference ya nin? Itasaidia nini kuwaweka sawa na chama chenu? kwanini msiwasiliane ndani kwa ndani?
na Lisu alifanya hayo hayo, na sasa mliokuwa viongozi mnafanya hayo hayo!
MNA TOFAUTI GANI NA CCM MNAYOILALAMIKAI