I IQ M JF-Expert Member Mar 4, 2015 616 320 Nov 19, 2018 #81 FATHER OF HISTORY said: Kwakweli Kwa hili,Mungu mkubwa,najuta kuwa mtumishi wa Serikali.Huu Ni ukatili wa Hali ya juu,tunawakabidhi Kwa mungu,mungu atatulipia sisi wastaafu Click to expand... Serikali yako sikivu inakupenda.hyo 75% inakutunzia kwa sababu we huna akili ya kujitunzia.ila wenyewe wamejipitishia sheria ya kujilipa asilimia 100.
FATHER OF HISTORY said: Kwakweli Kwa hili,Mungu mkubwa,najuta kuwa mtumishi wa Serikali.Huu Ni ukatili wa Hali ya juu,tunawakabidhi Kwa mungu,mungu atatulipia sisi wastaafu Click to expand... Serikali yako sikivu inakupenda.hyo 75% inakutunzia kwa sababu we huna akili ya kujitunzia.ila wenyewe wamejipitishia sheria ya kujilipa asilimia 100.
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Aug 9, 2007 18,697 8,843 Nov 19, 2018 #82 Vishatekwa hivyo, vitu pekee ambavyo avijatekwa kwa sasa na wameshindwa ni Vyama CHADEMA na ACT, BIla kusahau TLS na ile NGO ya Human Rights
Vishatekwa hivyo, vitu pekee ambavyo avijatekwa kwa sasa na wameshindwa ni Vyama CHADEMA na ACT, BIla kusahau TLS na ile NGO ya Human Rights