Vyama vya upinzani vyamjia juu Tendwa

Vyama vya upinzani vyamjia juu Tendwa

Tendwa lazima ajipendekeze ccm. muda wa kustafu umefika atakimbilia wapi kama si ccm?kama alivyofanya mtangulizi wake Liundi
 
Umenikumbusha huyu kivuitu alikubali kutumika akasababisha maumivu makali kenya.

Mkuu hivi Raila akishinda uchaguzi kwa mfano, Kivuitu atahama nchi au atabaki na kula jiwe - Siasa za Kiafrica Bwana!!! Mimi huwa nasikitika sana nimuonapo mtu professional anakosa ku-stick kwenye ethics za talaaluma yake na kufanya vitu vinavyo dhihilisha wazi wazi kwamba anafanya mambo ya kutaka kujipendekeza!

Mimi weakness ya namna hiyo huwa inanipa wakati mgumu sana kulielewa, suala hili la kukosa kutafakali unalo lizungumza/tenda lingeweza kabasi kui-cost Kenya wapigane vita wenyewe kwa wenyewe kutokana na mtu mmoja kufanya mambo ya KUJIPENDEKEZA!!! Sisi kama Watanzania tunapaswa kujifunza kilicho wapata majirani zetu kutokana na weakness za mtu MMOJA.
 
Huyu mzee umri wa kustaafu bado jamani mbona akili yake inarudi kuwa ya kitoto!!!!!!!!!!?????
 
Back
Top Bottom