Tatizo kubwa kwa vyama vya upinzani ni kukosa demokrasia ya ndani na uongozi mbovu. Kiongozi anakuwa na tamaa ya kung'ang'ania uongozi. Anatengeneza 'kundi' lake na kulitumia kuinfluence maamuzi yeyote anayotaka.
Apo ndio napo ikubali Chadema nahisi inawatu wengi sana ndanj ya kijani make wanastukiwa Mapema sana.Tatizo siyo demokrasia ni kupata watu makini wasiopandikizi ndani ya vyama, angalia Cecil Mwambe au Sumaye wakepata uenyekiti chadema leo ingekuwepo. Fikiria watu kama Halima Mdee alikuwa Mwenyekiti wa Bawacha leo kawa Yuda Iskrariote, unadhani usipokuwa makini utapata vyama kama cha Shibuda Ada-Tadea alafub tuite tuna wapinzania. CCM hawajalala ukifanya mchezo unapandikiziwa watu na chama kinakufa, NCCR-Mageuzi wapo wapi, TLP ya Mrema mbona hauangalii kwa jicho la pili.
Maji masafi hayahitaji kutengenezewa njia?siasa zao hazina tofauti na michirizi ya maji machafu, inajipitia tu, mpaka itengenezewe misingi ndio utaona inafuata njia
Ccm bila kulindwa nadola ni wepesi mno hata ukiwashindanisha na jiwe jiwe linashinda nadhani na wewe unajua ila unajipendekeza tuKila nikizipima siasa za vyama vya upinzani naona, siasa zao hazina tofauti na michirizi ya maji machafu, inajipitia tu, mpaka itengenezewe misingi ndio utaona inafuata njia na hizi njia huwa zinatengezwa na CCM, yaani kama ndege basi CCM wakimwaga machicha huku utaviona vyama hivi vinaelekea huko CCM wakibadilisha na kumwaga mtama upande mwengine utaviona vyama hivyo vyote vinaelekea huko,vimegeuzwa mwanasesere.
Kwa mtindo huu CCM mpaka watake wenyewe na kuwaonea huruma ndipo wanaweza kidoogo kupata vijinafasi vya ubunge na tumeona miaka iliyopita CCM waliachia na kuwapa sehemu kubwa ya viti vya ubunge matokeo yake vikanogewa na kujiona vina nguvu saaaaaaaanaa, CCM bila ya kuchelewa wakabana, matokeo tumeyaona jamaa hawajaambulia kitu.
Huo ndio ukweli msidanganye wananchi kama mna nguvu ya kisiasa.