JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,177
- 7,472
Chadema hawajasema kuwa hawatashiriki uchaguzi hivyo watasaini huku wakiendelea na kampeni yao ya kushinikiza mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi ili uwepo uchaguzi huru na wa haki.Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi za 2024 ni kosa la kuondolewa moja kwa moja kwa chama kushiriki.
Je, CHADEMA watasaini au la?
Huna akiliChini ya Lisu wanaweza wasisaini, lisu nadhani ubongo wake una shida. Changamoto ya afya ya akili ishamuathiri sana sasa kuna nyumbu wanamfuata machinjioni wameinamisha vichwa chini hawajui hata yanayoendelea na madhara yanayoweza kukuta Chama chao
Tanzagiza hakuna uchaguzi kuna uchafuzi.Kushiriki kinachoitwa uchaguzi ni kuhalalisha uchafuzi.Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi za 2024 ni kosa la kuondolewa moja kwa moja kwa chama kushiriki.
Je, CHADEMA watasaini au la?
Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi za 2024 ni kosa la kuondolewa moja kwa moja kwa chama kushiriki.
Je, CHADEMA watasaini au la?
Aliyekuambia Chadema haitashiriki uchaguzi ni nani?Mtego mkali sana huu wa kuiua Agenda ya No reforms, No election.
Naamini watasaini na watashiriki uchaguzi
Aliyekuambia Chadema haitashiriki uchaguzi ni nani?
Kinachopiganiwa na Chadema ni kuwepo na mabadiliko ya msingi na muhimu kwenye kanuni/sheria za huo uchaguzi. Na yasipofanyika hayo mabadiliko, ndiyo sasa no reform, no election itaanzia hapo kufanya kazi.
Mambo ya dhulma unataka zitumike busara, akili za wapi hiziLissu anatanguliza mihemko ya siasa za college. Akiona JF na twitter anapata comments za kusifia utoto wake basi ndio kama kichaa akipewa rungu kinachotokea. Busara ni kitu akujaliwa kuwa nacho, nafasi ya uenyekiti imemzidi size.
Kwahiyo hii agenda ni ya 2026 - 2030?Na yasipofanyika hayo mabadiliko, ndiyo sasa no reform, no election itaanzia hapo kufanya kazi.
Wewe mwanaccm ya chadema yanakuumiza.Chini ya Lisu wanaweza wasisaini, lisu nadhani ubongo wake una shida. Changamoto ya afya ya akili ishamuathiri sana sasa kuna nyumbu wanamfuata machinjioni wameinamisha vichwa chini hawajui hata yanayoendelea na madhara yanayoweza kukuta Chama chao
Just wait and see.Kwahiyo hii agenda ni ya 2026 - 2030?
Mbona uchaguzi bado! Wana haki ya kusaini...Chadema hawapaswi kusaini bila mabadiliko kuwa yamefanyika.
Kha! Sasa huo ni mtego gani, kwani wapi wamesema hawatoshiriki uchaguzi, acheni mihemko.Mtego mkali sana huu wa kuiua Agenda ya No reforms, No election.
Naamini watasaini na watashiriki uchaguzi
Mtu keshatundikiwa kitanzi atachagua mwenyewe aingie au akimbie mazima. Pamoja na mapungufu yao mengi, CCM kuna move hua wanazifanya na unagundua wana watu flani hivi wanatumia akili. Yaani hapo Tume wameamshwa mapema mapema walete kanuni ili wazee wa no election wajikanyage 🤭🤭🤭Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi za 2024 ni kosa la kuondolewa moja kwa moja kwa chama kushiriki.
Je, CHADEMA watasaini au la?
Tarehe 12, April, 2025 Ofisi ya Msajili inataka vyama vyote vyenye nia ya kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwenda kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, na kutosaini kanuni hizo kwa mujibu wa Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi za 2024 ni kosa la kuondolewa moja kwa moja kwa chama kushiriki.
Je, CHADEMA watasaini au la?
Naomba basi tafsiri ya No Election mkuu wangu, usichukie basi bossKha! Sasa huo ni mtego gani, kwani wapi wamesema hawatoshiriki uchaguzi, acheni mihemko.