Vyama vya siasa Tanzania na website zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama vya siasa Tanzania na website zao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, Mar 26, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimejaribu kuangalia website za vyama vyote Tanzania ila nimepata za vyama vitatu tu!
  CHADEMA Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) (too local,..no updates)
  CUF Website Rasmi ya Chama Cha Wananchi -CUF (some how nice but no updates)
  CCM Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM (very local ,no updates)

  Vyama vingine havina website kabisaaa,..

  Kwanini mda kama huu ambapo wasomi wengi wanapenda kujihusisha na siasa vyama hivi visitengeneze website zao kuwa user friendly ili kuvutia vijana wengi na mashabiki wengi pia?

  Wanaweza tengeneza namna ya watu kudiscuss ndani ya website zao (discussion forum) na kwa jinsi hiyo kutoa maoni yao kwa vyama wanavyo shabikia!

  Ila nionavyo website hizi,ni kama ziliokotwa vile,atleast ya CUF inavutia unaweza kukaa kwa mda mrefu ndani yake kuangalia mambo tofauti!
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mmmmh,nilikuwa sija notice

  Haya maneno "Website rasmi ya chama cha....." yanaonesha undugu wa hivi vyama (A & B)
   
 3. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Kwa hilo pekee tu litakujulisha kwamba vyama vyote hivyo si makini! hebu fikiria unaweka tovuti hewani kisha hakuna updates!? Tukitoka hapo tunajisifia "VYAMA VYETU NI MAKINI SANA!!" Je ambao hawako Tanzania na wanataka habari au kujua vyama hivyo watatuchukuliaje?
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sio walio nje tu,wengine tunategemea source za habari zinazo husu chama tuzipate kwenye website zao na sio magazeti kwanza au kama magazeti yanapotosha basi tukute habari za uhakika kwenye website zao lakini wapi

  Hebu angalia website ya CUF,ingawa siwajui viongozi wao vizuri ila cheo cha mtatiro naona aliye wekwa ni mtu mwingine kabisaaaa
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Ulipoanza na hii thread hukuonyesha rangi zako ulijitahidi ukawa fair lakini nafsi ikakusuta. Majuzi nilipata kumsikia HR akijibu hoja za UCCM A na B kiasi imeniingia akilini alisema
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Una maanisha waige website ya chadema au ya ccm zilivo?
  Oh may,ila sio kosa lako!

  Dactari akimuona mtu atajua huyu kwa muonekano wake ni mgonjwa (ingawa hadi apime ndo ajue ugonjwa) na huyu kwa muonekano wake ni muigizaji tu!

  Maybe hujui maana ya website ndo maana unasema waige kwetu,...
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Rangi yangu umeiona baada ya kusema Title za CUF na CCM zinafanana ila hukuiona rangi yangu niliposema website za CCM na CDM ni mbaya?
  Be fair please
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nimesema mwanzo ulianza vizuri ila nafsi yako ikakusuta angalia vizuri post yangu utaelewa nilichokisema............
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Huna, lolote ni unafki tu ndio unakusumbuwa, CUF ni CCM b period.
   
 12. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu kinaniudhi kama mtu, serikali au jumuiya kuweka wavuti ambayo haiwi "updated". Pia tabia ya wavuti hizo kuwa zinawazuwia watu kuona baadhi ya mambo ingawa kiunganishi (link) kipo. Kunahaja gani basi kuweka wavuti hadharani na hawataki watu waelewe yaliyomo ndani? Mara nyingi ni rahisi kuona mambo yanayohusu Tanzania katika wavuti za nje kuliko wavuti zetu za Tanzania, mfano, nilikuwa nafanya utafiti fulani kuhusu ZNZ habari nikazipata kwenye maktaba za Ureno. Kwenye ile ya Archives ZNZ huruhusiwi kuangalia unachotaka au kila ukurasa uko "under construction" ua "access only for permited permited persons".

  :focus:Kuhusu vyama vyetu vya siasa, sijui kama bado tumeathiriwa na siasa za chama kimoja (CCM) kuwa kila kitu ni siri, hakioneshwi na hakijadiliwi hadi kwenye vikao, au ni ukosefu wa utaalamu wa kuzifanya wavuti zao kuwa za maana.

  Kwa maendeleo ya vyama vyenyewe, ni wakati waende na wakati. Chema chajiuza, hivi vyama hata havitembezi.
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Hivi vyama havijajua kwamba websites ni moja kati ya source nzuri sana ya habari
  siku wakigundua nahisi itakua too late,woote wamelala wanategemea magazeti tu
   
 14. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kidumu chama cha mapinduzi.
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  chama cha ?
  CCM-M=CC?
  si mmejitoa magamba na nyie ni chama cha magamba!
  ccm is dead
   
Loading...