Ok upo huru kufungua mada ya U.S.A na kuelezea uzuri wa mifumo yake hakuna anaye kuzuia lakini kuniita mpumbavu sioni kama ni busara wewe kufanya hivyoKufuatilia siasa za uchina bora ufuatilie siasa za Korea kaskazini, hizi ni nchi za kidikteta by nature, haziruhusu mawazo mbadala sasa pumbavu mmoja anakuja humu kutuletea ujinga wake
Njia bora inayoruhusu ustawi wa jamii ni demokrasia pekee yake, huko china kila mtu ni CPC kwa lazima, Xi ndie kiongozi wako wabunge wote hadi takataka za nyumba kumi ni CPC
USA wamefika hapo walipo coz of their democracy, na nahisi hawa USA wataenda mbali zaidi ya hapo walipo, coz nchi kama China ni rahisi hali yao kisiasa kubadilika pale ambapo raia watachoka utawala wa kidikteta
Ndio maana USSR, Iran, China, North Korea, etc, ikitokea tu raia kudai haki fulani lazima usikie wakisingizia kwamba wanadanganywa na USA or Western, kitu ambacho uwezi kusikia USA wala katika nchi za demokrasia
Alipinga lini ? Na je unafahamu kosa la Fu Zhenghua mpaka kufika mahakamani na kuhukumiwa ?Achana hata na Hu Jintao Rais mstaafu, njoo kwa Waziri wa Sheria aliyetaka Xi asiongezewe muhura kafungwa maisha.
Siku Xi akifariki nchi itapata msukosuko, anajikuza kuliko taasisi za nchi
View attachment 2575434
OkWe bwana mdogo tafuta wa kuwashika akili hapa ulishafeli, Tuko makini sana na propaganda zenu.
Nimefanya kazi na wachina nyinyi mna roho mbaya na niwasengenyaji wakubwa.
Najifanyaga sijui wala sielewi kichina nawaskilizaga tu mnavyotusengenya na kutudharau.
Tafuta CCP wenzio mdanganyane sio hapa
Umeishiwa hoja ?Hivi ni kwann nyinyi ni wabaguzi na wasengenyaji sana?
Kwann mwafrica akiwa China haruhusiwi kuingia hospitali muhimu na baadhi ya super market.
Na kwann selikari yenu haichukui hatua zozote kuzuia ubaguzi huu?
Utatuambia nn ili tuamini na ww si mmoja wa hao wachina wabaguzi wa watu kulingana na rangi za ngozi zao?
Kwenye congress iliyopita hakuna mtu yeyote aliyeingizwa ili kupata uzoefu wa uongozi. 2028 hakuwezi kuwa na mabadiliko maana lazima mtu akae kwenye Politburo ajifunze namna ya kuongoza. Kwenye wale memba mia mbili na ushee sikumbuki kuona mtu aliyozaliwa mwaka 1970 na kuendelea. Hapo mna 1950 na 60. Hawa ni wazee tayari. Kwa kweli inabidi tuwaondoe baby boomer kwenye uongozi duniani. Wanakaba mno hawataki kuamini wamezeeka.Hakuna ulazima wa kuchaguliwa miaka miwili kikatiba
Niambie ilikuaje wanachama wa chama Cha demokrsia walifungwa? Kwa Nini lazima Politburo ipitishe jina l mgombea?Hongkong wana mfumo wao usio ingiliwa na mainland
Umejiunga lini JF? Unadhani humu ni chuo utakuwa unauliza maswali unavyojisikia mtu anaanza kukufundisha?Alipinga lini ? Na je unafahamu kosa la Fu Zhenghua mpaka kufika mahakamani na kuhukumiwa ?
Members wote una wafahamu ? OkKwenye congress iliyopita hakuna mtu yeyote aliyeingizwa ili kupata uzoefu wa uongozi. 2028 hakuwezi kuwa na mabadiliko maana lazima mtu akae kwenye Politburo ajifunze namna ya kuongoza. Kwenye wale memba mia mbili na ushee sikumbuki kuona mtu aliyozaliwa mwaka 1970 na kuendelea. Hapo mna 1950 na 60. Hawa ni wazee tayari. Kwa kweli inabidi tuwaondoe baby boomer kwenye uongozi duniani. Wanakaba mno hawataki kuamini wamezeeka.