Hapakuwahi kuwa na term limits katika kiti cha general Secretary within the partyBraza consensus ilikua kwa Deng, Jiang na Hu. Sasa hivi Xi alitaka wasilale hawalali. 2018 alibadilo katiba kumruhusu kuendelea kuwa katibu mkuu wa chama na Raisi wa nchi.
Hahaha unashangaa nn mi kulijua hili?Hii habari umepata wapi ?
Wacha uongo, upotoshaji na kutuchosha hapaHapakuwahi kuwa na term limits katika kiti cha general Secretary within the party
Lakini Kuna consensus ya wazee kuhusu muda wa kukaa madarakani. Miaka kumi kwa Jiang, Hu na consensus hiyo ndiyo iliyompa nafasi Xi ya kupanda mpaka kuwa 6 ranked? Kama hakutaka kubadili kwa nini asiachie uraisi akabaki kuwa General Secretary na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya china?Hapakuwahi kuwa na term limits katika kiti cha general Secretary within the party
Katiba haisemi kuwa lazima members wa Political bureau standing committee lazima wawe na umri wa miaka 502023 kachagua timu ya watu saba isiyokua na mtu mwenye umri chini ya 60. Pia amehakikisha falsafa yake imewekwa kwenye katiba.
Tatizo sio nchi kuwa na katiba, na mm sipingi hili, tatizo ni Huyu jamaa kuja kutudanganya as if hatujui uchafu wao.Mkuu kizzy wizzy tambua kuwa Kila nchi ina utaratibu wake hasa kwa kuzingatia historia,jamii,uchumi,siasa na utamaduni ni vena kuelewa kwamba siasa ya China haiwezi kuwa siasa sawa na mataifa ya ulaya na marekani na ndivyo vivyo hivyo siasa za ulaya na marekani haziwezi kuwa sawa na siasa ya China
"Pale ukigundua kwamba hakuna meza iliyo andaliwa kwa ajili yako basi tengeneza meza yako"
Alizungumza na former premier Li keqiang na general Secretary Xi kabla ya kutolewa nje na walinzi wa afya yake na wala haikuwahi amri ya XiKwa Nini alikua anagoma kutoka? Kwa Nini alimshika Premier Li? Kwa ni Xi alikua analazimisha walinzi wamtoe nje?
Iliyowekwa kwenye katiba ni ya Mao na Xi tu. Imewekwa kama core.Katiba haisemi kuwa lazima members wa Political bureau standing committee lazima wawe na umri wa miaka 50
Falsafa za marais wote wa China toka kwa Mao, Deng, Jiang, Hu, Xi zipo katika mitaala na mafundisho katika chama
Braza hata kama kichina sikijui lakini kugha ya mwili ya Hu haikutaka kutoka. Pia lugha ya Li ni kama alikua anaogopa. Pia kwa Taifa la China Ile congress ni kita kinaandaliwa kwa miaka mitano. Hakuna nafasi ya kukosoa. Ilikuaje aruhusiwe kuingia ndani ya ukumbi kama alikua mgonjwa? Mbona hajatoka hadharani na kusema nilikua mgonjwa? Ukitaka kujua kama alifukuzwa au hakufukuzwa subiri atokee afe Xi akiwa general Secretary then utaona gazeti la serikali litaandika Nini.Alizungumza na former premier Li keqiang na general Secretary Xi kabla ya kutolewa nje na walinzi wa afya yake na wala haikuwahi amri ya Xi
Umeshindwa kuelezea umepata wapi. Let make it simpleHahaha unashangaa nn mi kulijua hili?
Je, nikikwambia nilikuwepo ndani mule kwenye bunge wakati hili swala linatokea utawaza nn?
I've already told you, the world is watching you all what you're doing.
Urais is only ceremonial positionLakini Kuna consensus ya wazee kuhusu muda wa kukaa madarakani. Miaka kumi kwa Jiang, Hu na consensus hiyo ndiyo iliyompa nafasi Xi ya kupanda mpaka kuwa 6 ranked? Kama hakutaka kubadili kwa nini asiachie uraisi akabaki kuwa General Secretary na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya china?
Ni swali gani sijajibu naomba unioneshe.Tatizo sio nchi kuwa na katiba, na mm sipingi hili, tatizo ni Huyu jamaa kuja kutudanganya as if hatujui uchafu wao.
Maswali yetu muhimu tunayomuuliza hayajibu anaishia kuipamba CPC tu hapa
And yet aliubadilishia Sheria.Urais is only ceremony position