VYAMA RAFIKI VYA CHADEMA DUNIANI hivi hapa

Kuna mchungaji anaitwa Hashim Hassan....lakini ni mchungaji wa kanisa la kilokole.....
Na kuna jamaa alionekana kwenye ITV anaitwa Bernard lakini ni muislam....

Nachotaka kumuambia mtoa mada ni kuwa hatuangalii jina bali itikadi....
Yaani unaamini katika nini....na uko katika jumuiya ya wanaoamini nini (Itikadi)...

Kwa hiyo unaweza kutumia jina lolote lakini ukawa na itikadi tofauti...
Hatuwezi kusema CCM wanaunga mkono serikali zinazoingia madarakani kwa kuwapindua viongozi kwa kuwa tu ni Chama Cha Mapinduzi.....hapana...kwa sababu wanaamini katika communism!
Kwa wanaojua sauti za nasibu (arbitrary) katika lugha na msingi wa mantiki wataelewa!
NDUGU, wakati mwingine kuteta na watu wa kaliba hii ni kujilisha upepo! Vichwa vishaishiwa akili! Wako Nursery ya kufikiria....Hawahitimu utoto! Hawavui ujinga ili kuoga uelewa!Wamefungwa akili kwa fedha ndogo, wako kwenye chupa! Ni watu waliojaa fikra za kidini dini..Wanadhani mtu akiitwa JUMA basi ni mwislamu na yule akiitwa Richard ni Mkristo! Hawajui kwamba IRAN watu wanatumia majina ya Kiarabu hata kama ni WAKRISTO! Hata Jaji mstaafu Augustino Ramadhani alikuwa MKRISTO!Tuwasamehe maana hawakumuelewa WENJE! Na wataelewaje pasipo kusikia?!
 
Ha ha haa, watu hawaishi vituko, Maliberaliiiiii!
 
List ya Vyama Rafiki vya CHADEMA katika IDU

Quote By Chasha View Post
Associate members
Country Party Abbr Government
Argentina Republican Proposal PRO in opposition
Belarus Partyja BPF PBNF in opposition
Belarus United Civil Party of Belarus UCP in opposition
Cuba Cuban Democratic Directorate DDC in exile (United States)
Georgia New Rights NRP in opposition
Malta Nationalist Party PN in government
Mozambique RENAMO in opposition
Namibia Democratic Turnhalle Alliance DTA in opposition
Panama Panameñista Party PP in opposition
Russia Union of Right Forces[6] SPS in opposition
Saint Kitts and Nevis People's Action Movement PAM in opposition
Tanzania Party for Democracy and Progress Chadema in opposition
Ukraine All-Ukrainian Union "Fatherland" in opposition

Full members
Country Party Abbr Government
Albania Democratic Party of Albania PD in government
Australia Liberal Party of Australia Lib in opposition; in government in NSW, Queensland, Northern Territory, Victoria and Western Australia
Austria Austrian People's Party ÖVP junior party in government
Azerbaijan Azerbaijan National Independence Party AMIP in opposition
Bolivia Popular Consensus CP in opposition
Bosnia and Herzegovina Party of Democratic Action SDA junior party in government
Bosnia and Herzegovina Party of Democratic Progress PDP in opposition
Brazil Democrats DEM in opposition
Bulgaria Union of Democratic Forces SDS in opposition
Canada Conservative Party of Canada CPC/PCC/Tory in government
Chile Independent Democratic Union UDI in government
Chile National Renewal RN in government
China, Republic of Kuomintang KMT in government
Colombia Colombian Conservative Party PCC in coalition government
Croatia Croatian Democratic Union HDZ in opposition
Cyprus Democratic Rally DISY in opposition
Czech Republic Civic Democratic Party ODS leader of government coalition
Denmark Conservative People's Party K in opposition
Dominican Republic National Progressive Force FNP junior party in government
Ecuador Social Christian Party PSC in opposition
El Salvador Nationalist Republican Alliance ARENA in opposition
Estonia Union of Pro Patria and Res Publica IRL in government
Finland National Coalition Party Kok leader of government coalition
France Union for a Popular Movement UMP in opposition
Georgia United National Movement UNM in government
Georgia Christian-Democratic Movement
KDM in opposition
Germany Christian Democratic Union CDU leader of government coalition
Christian Social Union of Bavaria CSU leader of government coalition in Bavaria, junior party in federal government coalition
Ghana New Patriotic Party NPP in opposition
Greece New Democracy ND senior party of government coalition
Guatemala Unionist Party PU in opposition
Honduras National Party of Honduras PNH in government
Hungary Fidesz in government
Iceland Independence Party XD in opposition
South Korea Saenuri Party in government
Lithuania Homeland Union – Lithuanian Christian Democrats TS-LKD leader of government coalition
Macedonia Internal Macedonian Revolutionary Organization – Democratic Party for Macedonian National Unity VMRO–DPMNE in government
Maldives Maldivian Democratic Party MDP in opposition
Moldova Liberal Democratic Party of Moldova PLDM leader of government coalition
Mongolia Democratic Party leader of government coalition
New Zealand National Party Nat in government
Nicaragua Conservative Party PCN in opposition
Norway Conservative Party H in opposition
Peru Christian People's Party PPC in opposition
Portugal Democratic and Social Centre – People's Party CDS–PP junior party in government
Serbia Democratic Party of Serbia DSS in opposition
Slovenia Slovenian Democratic Party SDS in government
Spain People's Party PP in government
Sri Lanka United National Party UNP in opposition
Sweden Moderate Party M leader of government coalition
Uganda Forum for Democratic Change FDC in opposition
United Kingdom Conservative and Unionist Party Con/Tory leader of government coalition
United States Republican Party GOP majority in House, minority in Senate, not in the White House
Venezuela Project Venezuela PV in opposition
NB.KWENYE RED NI VYAMA VYA KILIBERAL AMBAVYO NI RAFIKI NA CHADEMA
KWENYE BLUE NI VYAMA VYA KIKRISTO AMBAVYO NI RAFIKI NA CHADEMA

ina maana kwa tafsiri ya chadema wao ni chama cha wakristo kwani marafiki zao ni vyama vya kikristo duniani...Tanzania sio nchi ya kikristo wala waislam....hivo akaa waogopeni kama ukoma
 
So? What is the big deal??

Una miaka mingapi?upo darasa la ngapi?
 
Sasa hivi si ni vyama rafiki tu na si umoja wa vyama mbona unachanganya madawa mkuu! Vyama rafiki kila chama kina mlengo wake na sera zake vyama vya kiliberali vina umoja wa and same applied to milengo mingine so kuwa vyama rafiki toka milengo tofauti doesn't mean anything mkuu kila chama kina ideologies zake ila mbaya kuwa kwenye muungano wa vyama vya ideology fulani kama CUF walivyo kwenye muungano wa vyama vya kiliberali duniani
 
Urafiki ni jambo jema kwamtu ama Taasisi yoyote hata mtu binafsi ana Rafiki wake wa kweli

Naomba Urafiki udumu kama MUNGU alivyosema kwamba tupendane hapa Duniani kwani Sisi ni Wa Baba Mmoja

Asanteni sana Ndugu zangu.
 
Chadema iko centred, CCM iko left, CUF ni HAKI SAWA KWA WOTE(Liberals)- E. D. Wenje

soma vizuri hii thred...angalia vyama rafiki na chadema vya kiliberali kwenye red ambavyo vinatetea haki za jinsia moja kama vile usagaji na ushoga..
 
jamaa , icho kichwa usitumie kufugia nywele tu , ebu soma ujielimishe...nakupa kazi ya kufanya, ebu pitia websites za vyama alivovileta mleta mada useme au unukuu ni wapi chama chochote apo juu kinakubali ushoga? ikumbukwe kwenye list ambako cuf wametajwa wako wazi wanadai homosesual rights ila kati ya vyama alivotaja hapo juu,hakuna kinachoadvocate kwenye ilo jambo...usikimbie kuamini, investigate , no research don't speak. Pia usiangalie majina angalia ideology...mfano CCM -chama cha mapinduzi...ukiangalia jina je ni wapi kilipindua??kama ni zanzibar , ccm ilikuwa haijazaliwa, ikumbukwe ilizaliwa na tanu na asp mwaka 1977 tar5, januari, wakati mapinduzi yalianza mwaka 1963 kukoma 1964. Usiangalie jina, tunaangalia msimamo, mainly - ideology. Sana sana cha kuwasaidia cuf ni kuwaambia waombe radhi kwa kuassume ideology wasiyoijua, pia watangaze kujiuzuru uanachama wa Liberal membership...ata ifanye siasa gani bila kuweka ilo sawa wananchi wtaelewa msimamo wenu ni msimamo wa liberal rights...Kuitwa liberal si tatizo ila je itikadi yako ni ipi? Jifunze, uhudumie.
 
Back
Top Bottom