Vyakula vya aina gani vinasaidia kupunguza Unene

Maelezo ni yapi?
Iko hizi chakula tunachokula mara nying haikitok mwilini kwa usahihi ( yaani taka mwili, digestive system haiko sawa)
Chakula kama wali, ugali, pizza n.k nimeona watumiaji kwa wingi wakiwa na vitambi + unene sana.
Kitu naweza kushauri ni kula kwa kiasi tu yaani ule ukishiba unaacha, sio kula hadi ukomoe wapishi. (Yaani kupunguza ulafi)..
Jambo lingine fanya mazoezi kukimbia na mazeozi ya tumbo...
1.punguza ugali, wali usiku
2.kula matunda (mlo slightly)
3.Acha tamaa ya kula sana chakula cha sukari na MAFUTA (pizza,cake)
Kula kidogo
NB: mara nyingi kula kwa ulafi ni tatzo sana.
 
Maelezo ni yapi?
Iko hizi chakula tunachokula mara nying haikitok mwilini kwa usahihi ( yaani taka mwili, digestive system haiko sawa)
Chakula kama wali, ugali, pizza n.k nimeona watumiaji kwa wingi wakiwa na vitambi + unene sana...

Asante Mkuu
 
Ukitushari kukibia kwa sasa tayari ni tatizo maana tumeshakuea wazito toa mbinu nyingine
 
Hakunaga vyakula vya kupunguza unene. Ila unachoweza ni kuacha kula vyakula ambavyo mwili wako unenepeane na kuanza vile vitakavyo uboresha.....
 
Unajua watu wengi hukomaa na mazoezi bila kupangilia mlo mzuri , ndio tatizo linaanzia hapo maana ukianza kupunguza potion na ukaepuka wali na ugali usiku basi kazi imeisha lazima utakua slim na hata usikimbie wewe hata room rukaruka kamba changanya na pushups mwili wenyewe utakaa sawa kabisa
 
Punguza wanga na sukari. Main dish iwe protein, vegetables, fats, fruits zenye less sugars kama Avocados na tango.

Mfano asubuhi amka na supu na mtindi au maziwa fresh, weka mboga za majani plus tango au avocado..hapo njaa unahisi tena saa 9 huko. Ukila tena main dish waweza weka samaki, eggs, vikiambatana na mboga za majani na matunda yenye low sugars. Usile tena hadi uhisi njaa.

Usiku ukiamua kula usile heavy meal, piga hata glass ya mtindi lala. Kama bado hujazoea waweza panga chakula chako kama cha asubuhi na mchana.

Ukila hivi utauingiza mwili wako kwenye keto stage ambapo utaanza kuchoma mafuta yaliyokufanya unenepe kama nishati...utapungua huku unashiba bila kujishindisha njaa.

Miili yetu ilivyoumbwa ukila sukari nyingi kupitiliza..ile excess mwili unaibadili na kuitunza kama mafuta kama store ya nishati baadaye na kukufanya unenepe.

Pia miili yetu iliumbwa kutumia kiwango kidogo sana cha sukari...at any given time kwenye lita 5 hadi 7 damu ndani yako kunatakiwa kuwepo na 5 to10 g of sugar ambayo ni sawa na kijiko cha chai kimoja au viwili vya sukari. Ila sasa watu wamekuwa wakila sukari nyingi kupindukia na madhara yanaoekana kwenye jamii ya sasa. Mtu anapiga wali sahani nzima, pembeni ana soda, ana matunda yenye sukari nyingi...usiku tena anakula hivyo hivyo..lazima anenepe.

Punguza idadi ya milo...usile kwa tamaa au kwa sababu saa 4 au 7 mchana au 2 usiku imefika. Kula ukihisi njaa tu. Mwili uliumbwa kukupa taarifa wewe kuwa ukihitaji kitu utatoa signal..kiu maji, hormone za kukufanya uhisi njaa maana yake unataarifiwa kuwa nishati imepungua.

Cut off products za mahindi, wali, ngano, soda etc...tafuta unga wenye less carbs na highly nutritious kama almonds, Cashewnut and pumpkin seeds ndiyo utengenezee mapishi kama mikate, chapati, waffles n.k.

Lastly tembelea hospital ukapime maendeleo ya mwili ili uangalie status ya mwili kama uko kwenye oxidative stress, Inflammation au prediabetes, na kadhalika...vipimo kama HbA1c ni muhimu. Maana mara nyingi being overweight ni mlango wa magonjwa ya mtindo wa maisha kuingia. Fanya na mazoezi.
 
Mfano asubuhi amka na supu na mtindi au maziwa fresh, weka mboga za majani plus tango au avocado..hapo njaa unahisi tena saa 9 huko. Ukila tena main dish waweza weka samaki, eggs, vikiambatana na mboga za majani na matunda yenye low sugars. Usile tena hadi uhisi njaa...
Thank you
 
Punguza wanga na sukari. Main dish iwe protein, vegetables, fats, fruits zenye less sugars kama Avocados na tango.

Mfano asubuhi amka na supu na mtindi au maziwa fresh, weka mboga za majani plus tango au avocado..hapo njaa unahisi tena saa 9 huko. Ukila tena main dish waweza weka samaki, eggs, vikiambatana na mboga za majani na matunda yenye low sugars. Usile tena hadi uhisi njaa.

Usiku ukiamua kula usile heavy meal, piga hata glass ya mtindi lala. Kama bado hujazoea waweza panga chakula chako kama cha asubuhi na mchana.

Ukila hivi utauingiza mwili wako kwenye keto stage ambapo utaanza kuchoma mafuta yaliyokufanya unenepe kama nishati...utapungua huku unashiba bila kujishindisha njaa.

Miili yetu ilivyoumbwa ukila sukari nyingi kupitiliza..ile excess mwili unaibadili na kuitunza kama mafuta kama store ya nishati baadaye na kukufanya unenepe.

Pia miili yetu iliumbwa kutumia kiwango kidogo sana cha sukari...at any given time kwenye lita 5 hadi 7 damu ndani yako kunatakiwa kuwepo na 5 to10 g of sugar ambayo ni sawa na kijiko cha chai kimoja au viwili vya sukari. Ila sasa watu wamekuwa wakila sukari nyingi kupindukia na madhara yanaoekana kwenye jamii ya sasa. Mtu anapiga wali sahani nzima, pembeni ana soda, ana matunda yenye sukari nyingi...usiku tena anakula hivyo hivyo..lazima anenepe.

Punguza idadi ya milo...usile kwa tamaa au kwa sababu saa 4 au 7 mchana au 2 usiku imefika. Kula ukihisi njaa tu. Mwili uliumbwa kukupa taarifa wewe kuwa ukihitaji kitu utatoa signal..kiu maji, hormone za kukufanya uhisi njaa maana yake unataarifiwa kuwa nishati imepungua.

Cut off products za mahindi, wali, ngano, soda etc...tafuta unga wenye less carbs na highly nutritious kama almonds, Cashewnut and pumpkin seeds ndiyo utengenezee mapishi kama mikate, chapati, waffles n.k.

Lastly tembelea hospital ukapime maendeleo ya mwili ili uangalie status ya mwili kama uko kwenye oxidative stress, Inflammation au prediabetes, na kadhalika...vipimo kama HbA1c ni muhimu. Maana mara nyingi being overweight ni mlango wa magonjwa ya mtindo wa maisha kuingia. Fanya na mazoezi.
Thread closed.
 
Kwa sehemu kubwa haya ndio yanafaa kufuatwa na nimekuwa nikifanya hivi ingawa sio siku zote. Ni pale ninapoona kilo kadhaa zimeongezeka basi hiyo inakuwa ndio program yangu kwa mwezi mmoja hadi miwili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom