Kila kabila lina vyakula vyake vya jadi lakini baadhi ya vyakula huwa haviwezi kuliwa na kabila lingine kwa mfano,Wapogoro huwa wanatumia kitu cha Mbewa(panya)kama mboga...je makabila mengine yanatumia vyakula gani tujuzane wakuu
Kule kusini watu wanakula hadi ma majongoo, akina nshomire mambo ya senene, nasikia baadhi ya wazenji punda halali yao, makristu eti kitimoto! Kwa wachina kila kilichoumbwa eti halali yao! Laanakumshetwan!
Kule kusini watu wanakula
hadi ma majongoo, akina nshomire mambo ya senene, nasikia baadhi ya
wazenji punda halali yao, makristu eti kitimoto! Kwa wachina kila
kilichoumbwa eti halali yao! Laanakumshetwan!
Kule kusini watu wanakula hadi ma majongoo, akina nshomire mambo ya senene, nasikia baadhi ya wazenji punda halali yao, makristu eti kitimoto! Kwa wachina kila kilichoumbwa eti halali yao! Laanakumshetwan!
Sio makristu but wakristu, je kitimoto ndo kmeshangaza mbona mi najua kuwa weng wa walaan kitmoto ndo wanaongeza soko usiekula weye lol nduguzo ndo musosi
Mdau mtoa mada hapa anazungumzia vyakula vya makabila tofauti na sio vyakula vya dini tofauti,mbona katumia lugha rahisi sana ????hakuna kabila la wakristo..Yetoooo ethina mburi hiyee!!!
Kwetu uchagani kuna chakula kiitwacho KIBULU.Ni mchanganyiko wa ndizi,maharage,magimbi na magadi. Huvutia sana unapokunywa na kama wewe ni mgeni basi ni vgumu kuomba nyongeza manake knatamanisha uspime.

nyani bongo wengi tu kwa mfano wapogoro[/QUOTE we mpalu usiniambie.hata hivyo ni kawaida Mungu alitupa kila kitu kisicho sumu tule.as far as nyani haziwadhuru wapogoro acha wajilie vitu adimu.nyama tamu bwana asikwambie mtu.