AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,615
- 2,338
Hahahaaa!, Kwanza unayakaanga halafu yabanike kisha yaanike juani miaka 7, baada ya hapo yako tayari kuliwa, usisahau kuyatafuna pamoja na chumvi ya mawe!.hayo mazoezi ya viungo huwa yanakaangwa au yanachemshwa au yanaliwa hivihivi??
Binafsi mafuta ya zeituni na maparachichi nayatumia sana, naweza sema niko adicted nayo kwa kweli.
Samaki na ndizi bukoba ndizo ndizi wahaya, zinaleta sana akili Alafu ule kichwa cha ngege, mboju ,mputa, na mamba, alafu weka maziwa hataree
Kwani nani kasema anakula kwa sababu ya kupata akili? Nimeanza kuvitumia kitambo tu kwa sababu za faida zake kiafya mbali na mambo hayo ya afya ya akili. Haya mengine nimeyafahamu kupitia bandiko hili.Nguvu ya ubongo sio kula tu.. Unaweza kula kila kitu still ukawa bongolala pia.. There is more than just food..!!
Vipi na akili zimo zimo au Jamaa kaleta chai bila sukari..........π€π€π€(natania Mkuu)Binafsi mafuta ya zeituni na maparachichi nayatumia sana, naweza sema niko adicted nayo kwa kweli.
hayo mazoezi ya viungo huwa yanakaangwa au yanachemshwa au yanaliwa hivihivi??
hayo mazoezi ya viungo huwa yanakaangwa au yanachemshwa au yanaliwa hivihivi??
sio yote..mengine yanaliwa mbele ya ummaMkuu hayo huwa yanachemshwa tu huweki kiungo Γ§hochote.
Ila ni vizuri kuyalia chooni.
sionagi mchango wenu zaidi ya sifa za kijinga, ujuaji mwingi lkn hamna kitu kabisaSamaki na ndizi bukoba ndizo ndizi wahaya, zinaleta sana akili Alafu ule kichwa cha ngege, mboju ,mputa, na mamba, alafu weka maziwa hataree
ππππππVipi na akili zimo zimo au Jamaa kaleta chai bila sukari..........π€π€π€(natania Mkuu)
Pamoja sana Mkuuππππππ
Mkuu zimo zimo kiasi chake maana mtaani kwetu wananiita aristotleπππ. Ila mimi natumia kwa sababu za kiafya hayo mengine ndo nayaona kwenye huu uzi japo nilikuwa nasikiasikia tu.
Umesema korosho vip kuhusu wamakonde au unavyotaja maparachichi ulishawai kuish na wanyakyusa??
Usitupandishie matunda bei mkuu,