Vyakula vinavyoongeza nguvu na akili katika ubongo wa mwanadamu

Samaki na ndizi bukoba ndizo ndizi wahaya, zinaleta sana akili Alafu ule kichwa cha ngege, mboju ,mputa, na mamba, alafu weka maziwa hataree

Mbona hizo akili hazijabadili mandhari ya huko Bukoba?
Ujuaji Na Mbwembwe Za Wahaya haziendani Na hadhi ya Mji wao
 
Nguvu ya ubongo sio kula tu.. Unaweza kula kila kitu still ukawa bongolala pia.. There is more than just food..!!
Kwani nani kasema anakula kwa sababu ya kupata akili? Nimeanza kuvitumia kitambo tu kwa sababu za faida zake kiafya mbali na mambo hayo ya afya ya akili. Haya mengine nimeyafahamu kupitia bandiko hili.
 
Samaki na ndizi bukoba ndizo ndizi wahaya, zinaleta sana akili Alafu ule kichwa cha ngege, mboju ,mputa, na mamba, alafu weka maziwa hataree
sionagi mchango wenu zaidi ya sifa za kijinga, ujuaji mwingi lkn hamna kitu kabisa
 
Umesema korosho vip kuhusu wamakonde au unavyotaja maparachichi ulishawai kuish na wanyakyusa??
Usitupandishie matunda bei mkuu,
 
Vipi na akili zimo zimo au Jamaa kaleta chai bila sukari..........🤭🤭🤭(natania Mkuu)
😀😀😀😀😀😀
Mkuu zimo zimo kiasi chake maana mtaani kwetu wananiita aristotle😀😀😀. Ila mimi natumia kwa sababu za kiafya hayo mengine ndo nayaona kwenye huu uzi japo nilikuwa nasikiasikia tu.
 
Hah hah hah Mkuu umenifanya nikumbuke wanaume wa Dar na mihogo mibichi zaidi ya nguruwe.

Tikiti maji ndo usiseme.




Umesema korosho vip kuhusu wamakonde au unavyotaja maparachichi ulishawai kuish na wanyakyusa??
Usitupandishie matunda bei mkuu,
 
Nyongeza ... zoezi la kujizungusha kwenye mhimili (mchezo huu hupenda sana watoto) - hili zoezi linafanya akili zifanye kazi kwa kiwango cha hali ya juu sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom