Vyakula vinavyomfanya mwanamke kuwa mtamu

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Habari zenu wana JF,

Leo tena nimekuja na hii thread inayohusu vyakula vya kumfanya mwanamke awe mtamu wakati wa tendo.

Unajua mambo haya sio miujiza ni science na uhalisia. Mwanamke anaweza kuwa na ladha nzuri wakati wa tendo na kumfurahisha mwenzi wako akiwa anatumia vyakula vifuatavyo;

1. Nanasi au juice ya nanasi. Nanasi lina sukari nyingi linapoliwa na mwanamke humeng'enywa na hatimaye hujengea afya sehemu ya kike na kufanya iwe na radha zuri. Wengine wanasema mnato. Vile vile matunda ya strawberry na yenyewe yanahusika sana.

2. Vitunguu maji na vitunguu swaumu.
Kwa upande mwingine vitungu vinaongeza radha kwa mwanamke na aweze kufurahisha na kuleta raha wakati wa tendo.

3. Vyakula vyenye fat nyingi au vyenye oil.
Vilevile vyakula vyenye fat au oil nyingi hufanya kitu kiwe kitamu.

Lakini vyote katika vyote no.1 ndio inahusika sana vingine ni kama ziada tu.

Nawasilisha hoja.
 
Wanaume acheni kututesa asee.....
Hayo mafuta tule, tukiota vitambi mtuseme!!!!!
Hivo hivo tu ilmradi mnakojoa inatosha jamani tuoneeni huruma
Ukakula mafuta kiasi zaidi sama ni mananasi.
Isitoshe unatakiwa kuwa unafanya mazoezi.
 
Ama kweli mwanaume ni kama kinyonga.Kila mda anabadilika leo hii tule mafuta matumbo yakitutoka na kunenepa mnaanza kutusema tena kuwa tuna vitambi eeeh kweli ni shidaaaa
Vipi kuhusu nanasi? Maana ndio kila kitu.
 
Samahanini, hivi vikolombwezo vyote vyaliwa ama vya wekwa huko ukeni?
 
Habari zenu wana JF.
Leo tena nimekuja na hii thread inatohusu vyakula vya kumfanya mwanamke awe mtamu wakati wa tendo.

Unajua mambo haya sio miujiza ni science na uhalisia. Mwanamke anaweza kuwa na ladha zuri wakati wa tendo na kumfurahisha mwenzi wake akiwa anatumia vyakula vifuatavyo.

1. Nanasi au juice ya nanasi. Nanasi lina sukari nyingi linapoliwa na mwanamke humeng'enywa na hatimaye hujengea afya sehemu ya kike na kufanya iwe na radha zuri. Wengine wanasema mnato. Vile vile matunda ya strawberry na yenyewe yanahusika sana.

2. Vitunguu maji na vitunguu swaumu.
Kwa upande mwingine vitungu vinaongeza radha kwa mwanamke na aweze kufurahisha na kuleta raha wakati wa tendo.

3. Vyakula vyenye fat nyingi au vyenye oil.
Vilevile vyakula vyenye fat au oil nyingi hufanya kitu kiwe kitamu.

Lakini vyote katika vyote no.1 ndio inahusika sana vingine ni kama ziada tu.

Nawasilisha hoja.
Toa pesa kwanza maana vyote hivyo vinauzwa
 
Back
Top Bottom