Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,836
Habari zenu wana JF,
Leo tena nimekuja na hii thread inayohusu vyakula vya kumfanya mwanamke awe mtamu wakati wa tendo.
Unajua mambo haya sio miujiza ni science na uhalisia. Mwanamke anaweza kuwa na ladha nzuri wakati wa tendo na kumfurahisha mwenzi wako akiwa anatumia vyakula vifuatavyo;
1. Nanasi au juice ya nanasi. Nanasi lina sukari nyingi linapoliwa na mwanamke humeng'enywa na hatimaye hujengea afya sehemu ya kike na kufanya iwe na radha zuri. Wengine wanasema mnato. Vile vile matunda ya strawberry na yenyewe yanahusika sana.
2. Vitunguu maji na vitunguu swaumu.
Kwa upande mwingine vitungu vinaongeza radha kwa mwanamke na aweze kufurahisha na kuleta raha wakati wa tendo.
3. Vyakula vyenye fat nyingi au vyenye oil.
Vilevile vyakula vyenye fat au oil nyingi hufanya kitu kiwe kitamu.
Lakini vyote katika vyote no.1 ndio inahusika sana vingine ni kama ziada tu.
Nawasilisha hoja.