Vyakula vinavyokukela

Mlenda! Sitaki kuuona. Napendelea chai kwa matembele au juisi ya bamia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikifikiri kuwa kuna watu hapa duniani wana shida ya kutapa chakula hata mara moja kwa siku sithubutu kusema kuna chakula kinanikera
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…