ahaaa so hupendi kuku wa kisasa ila wa kienyeji unatumia eeh,nilianza kukuonea huruma kama hupendi kuku unakosa utamu ,ila kweli hawa kuku wa kisasa mmh madawa kibao. kuna siku Buguruni nimeona kuku hao wamekaangwa wamevimbaa vipande vyake kama mbuzi akii.na wababa,wakaka, wapo wananunua duuh.
Sometimes hivi vyakula tunavilaumu, lakini kumbe ni mapishi tu. Binafsi, nilikuwa nilikuwa nawa-hate, sana dagaa. Na hata kande. Sasa kuna sehemu nilitembelea nilienjoy sana, nilishindwa kuamini kama ni wale dagaa ambao i used to hate. Niwe muwazi hata kabichi ugali na tembele sipendelei. Hahahahaha!