Hawa wote ni wakazi wa Magomeni na wanapatikana sana Kwa Frank Pub na Lango la jiji, ukipata nafasi ya kusikia story zao za jinsi walivyoanza huo umarhun unaweza kulia, wengi wao wameharibiwa na ndugu zao wa damu kabisa, kwa sababu ya haya mambo ya kiafrika ya kulaza watoto wadogo na watu wazima chumba kimoja bila kuwa na ufatiliaji! Na wengine ni boarding zetu za kiswahili hizi! Huyo mmoja anaitwa Bilal mashauzi, ana wenzake kina Aunt Khamis na wengine wengi, wako kibao!