VVD amekosa Ballon d'Or kwa upumbavu wake

BJB FC

JF-Expert Member
Aug 25, 2015
1,695
1,678
Naaam.

Mwaka 2007,Rio Ferdinand,Ronaldo na Henddrson enzi wakiwa Manchester united d waliulizwa swali hili kwa pamoja

Who is the greatest player of all time?.

Rio akajibu ni Maradona,Hendersona akazingua kujibu.Lakini Ronaldo akajibu "mimi".Ndio,akajibu "mimi".

Akiwa na miaka 22,mwaka 2007,katika rank ya Ballon d'Or alimaliza wa pili.Mwaka unaofuata akachukua mpira wake wa kwanza!Wakati naandika haya,ana Ballon d'Or 5.

Mwaka huu,VVD na Messi walikuwa ndio favourite wa kuchukua tuzo.VVD alinukuliwa mara nyingi akisema Messi anastahiki.Huu upuuuzi huuu!!!Kama mtu anaamini wewe ni mchezaj bora msimu huu,wakati wewe mwenyewe hujiamini,naanzaje kukupigia kura?

Huyu mchezaji na wachezaji wengine aina hii Ballon d'Or watazisikia kwenye bomba tuuu.
 
Messi hastaili chochote wamempa tu , hiyo tuzo wangempa mbappe
 
Ata angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.
 
Bondia wa Tanzania alipigwa ngumi nzito ambayo ilimfanya apoteze fahamu na kuletewa mitungi ya hewa ya oxygen.

*nimemnukuu mchangiaji mmoja hapo juu*
 
Naaam.

Mwaka 2007,Rio Ferdinand,Ronaldo na Henddrson enzi wakiwa Manchester united d waliulizwa swali hili kwa pamoja

Who is the greatest player of all time?.

Rio akajibu ni Maradona,Hendersona akazingua kujibu.Lakini Ronaldo akajibu "mimi".Ndio,akajibu "mimi".

Akiwa na miaka 22,mwaka 2007,katika rank ya Ballon d'Or alimaliza wa pili.Mwaka unaofuata akachukua mpira wake wa kwanza!Wakati naandika haya,ana Ballon d'Or 5.

Mwaka huu,VVD na Messi walikuwa ndio favourite wa kuchukua tuzo.VVD alinukuliwa mara nyingi akisema Messi anastahiki.Huu upuuuzi huuu!!!Kama mtu anaamini wewe ni mchezaj bora msimu huu,wakati wewe mwenyewe hujiamini,naanzaje kukupigia kura?

Huyu mchezaji na wachezaji wengine aina hii Ballon d'Or watazisikia kwenye bomba tuuu.

Binadamu tuna vision tofauti,VVD ameona kua messi anastahili na wewe umeona kua VVD anastahili na CR7 yeye aliona kwa wakati huo yeye ndio bora, sasa mawazo ya mtu yanakuzuia vipi wewe usifanye chaguzi yako ambayo wewe unaiona sahihi?,kumbuka hata MESSI aliona SADIO MANE anastahili na ndio maana alimpigia kura
 
Ata angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.

Unamaanisha kama Nike wangehonga pesa nzuri MBAPPE angepewa ballon d'or?
 
Ata angesema yeye ndio anastahili unafikiri angepewa? Izo tuzo kwa sasa zimekaa kibiashara makampuni ya vifaa vya michezo yanahonga ili mchezaji wao nyota anaye vaa mavazi yao ushinde. Ebu jiulize mwaka 2010 ilikuaje Messi ashinde ile tuzo alafu Sneider aikose !! Kwasasa ni wahuni tu ndio wanaendesha izo tuzo.
Uko sahihi sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom