Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,946
- 54,239
Umeambiwa utafakari iwapo "upinzani/wapinzani/vyama vya upinzani" havitokuwepo.Rudia kubukua.Kwani chadema ndo mungu tunayemuomba msaada hiyo in kufuru mbona pia kesho yetu in kaburini wote hapa duniani mi leo usijidanganye bro binafsi naitaji kiongozi muadilifu au mwenye khofu ya Allah sio DEMOKRASIA kwani ni mfumo hatari na wa kijinga kwa watu maskini hivyo km kula KUKU kwa mirija mlishakula sn na wanyonge wapo na chadema wapo ebu msituaminishe ujinga wenu huku wote ni walewale wanafiki wa kisiasa kubwa na zuri duniani tupo kwa muda mfupi na kila nafsi itaonja umauti hapo ndo mtakiona nyie wanaharakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdomo umemponza kichwa pia ukitoa aibu za watu ndo wananch watakuwa wamepata maendeleo au
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa utafakari iwapo "upinzani/wapinzani/vyama vya upinzani" havitokuwepo.Rudia kubukua.
Siasa na adabu ni wapinzani wa jadi.Ukiipenda siasa tu adabu inatorokea kwenye bukta.
We ndo unaelewa kwa kutaja aibu za watu mitandaonimwache haelewi huyo
πππkwa hii comment yako najuta kuendelea kujibishana na ww..!haya vaa nguo ukasome
Bhas mtihan km nyie mkishika nchi mtakosa adabuSiasa na adabu ni wapinzani wa jadi.Ukiipenda siasa tu adabu inatorokea kwenye bukta.
Asntkwa hii comment yako najuta kuendelea kujibishana na ww..!haya vaa nguo ukasome
Mkuu ruhusu kwanza oxygen ingie kwenye bongo zako vyema kisha soma tena ndio uje ucomment. Unahisi uyo Mungu wako syria hawamuombi..!!? Mengine tumeachiwa wanadam wenyewe tujiongozeKwani chadema ndo mungu tunayemuomba msaada hiyo in kufuru mbona pia kesho yetu in kaburini wote hapa duniani mi leo usijidanganye bro binafsi naitaji kiongozi muadilifu au mwenye khofu ya Allah sio DEMOKRASIA kwani ni mfumo hatari na wa kijinga kwa watu maskini hivyo km kula KUKU kwa mirija mlishakula sn na wanyonge wapo na chadema wapo ebu msituaminishe ujinga wenu huku wote ni walewale wanafiki wa kisiasa kubwa na zuri duniani tupo kwa muda mfupi na kila nafsi itaonja umauti hapo ndo mtakiona nyie wanaharakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkumbushe abebe "ufyagii" na kidumu cha maji.Asipotii amri ya mwalimu Kinyanye watamkung'uta hadi alie ..."ooooiii daadeee"...!πππkwa hii comment yako najuta kuendelea kujibishana na ww..!haya vaa nguo ukasome
Mkumbushe abebe "ufyagii" na kidumu cha maji.Asipotii amri ya mwalimu Kinyanye watamkung'uta hadi alie ..."ooooiii daadeee"...!
Mkuu ruhusu kwanza oxygen ingie kwenye bongo zako vyema kisha soma tena ndio uje ucomment. Unahisi uyo Mungu wako syria hawamuombi..!!? Mengine tumeachiwa wanadam wenyewe tujiongoze
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu acha kuandika kitotototo.Uwe unaandika maneno yanakamilika.
Nadhani huu ndio mwelekeo! Kwa watanzania tulivyo, kuna kila dalili ya hili kutokea au jeshi kudhibiti nchi! Unafiki umekuwa mkubwa kiasi kwamba hakuna tena kuaminiana!Bila vyama vya upinzani CCM itaondoshwa madarakani kwa mapinduzi.
ππππkama yupo form 3Halafu acha kuandika kitotototo.Uwe unaandika maneno yanakamilika.
Anaandika kama mbebezz!ππππkama yupo form 3