Diranqw
Senior Member
- Mar 13, 2016
- 160
- 72
Halmashauri ya jiji la Tanga liko hatarini kuvunjwa kufuatiwa madiwani wake kushindwa kuelewana katika kikao kilichositishwa jana na mkurugenzi wao.Chanzo ni diwani wa kata ya Tangasisi(CUF) ambaye ni naibu meya bwana Mohamed Hniu kuchukua kipasa sauti na kuwatangazia wajumbe kuwa ili kikao kiweze kuendelea ni lazima kwanza uchaguzi wa meya ufanyike kwanza ndipo songombingo ilipoanzia na kusababisha rapsha ndani ya ukumbi huo hali iliyosababisha mkurugenzi kuahirisha kikao kwa mara nyingine tena.Ukawa/chadema awamu hii kazi wanayo kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!......