Vurugu zatawala CHADEMA Tarime

Vurugu zatawala CHADEMA Tarime

USTAADHI

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
1,516
Reaction score
136
KATIKA hali ya kuonesha dhamira ya wazi ya kutovumiliana leo majira ya saa 8 katika ofisi ya CHADEMA wilaya ya TARIME kumetokea malumbano kati ya viongozi wa wilaya waliokuwa na kikao cha kawaida cha kujadili maswala ya chama na upande wa ndugu MWITA WAITARA AFISA SERA NA UTAFITI CHADEMA MAKAO MAKUU

KIINI CHA MALUMBANO ILIKUWA
Ni ndugu WAITARA kuingia katika kikao huku kikiwa kinaendelea na kuhoji uhalali wa kikao hicho kutoongozwa na mwenyekiti aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo ambaye badae alisimamishwa kwa utovu wa nidhamu na kupeleka siri za chama nje ya vikao halali vya chama.

Akiwa anaongea kwa kufoka waitara amewambia viongozi wa wilaya kuwa ametumwa na katibu mkuu kuleta barua na kuhakikisha mwkt anarudi katika nafasi yake jambo ambalo halikukubalika na viongozi baada ya viongozi kuonekana kujenga hoja zao bwana waitara mwita aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo mwaka 2010 aliamua kukaa kwenye meza juu huku akiwa anapiga kelele jambo ambalo lilionekana kuungwa mkono na katibu wa vijana wilaya ndugu hussein abeid na ndugu lucas ngotyo kaimu mwenyekiti wa wilaya aliyedaiwa kusimamishwa na uongozi wa wilaya.

Baadae ikatokea mtafaruku baada ya baadhi ya vijana kuchachamaa wakimtaka ndugu waitara kueleza ni namna gani amekuja kwnye kikao cha kamati tenndaji na wao huku si wajumbe na pia akiwa amelewa?na ni kwa nin i anaamuru watu wake kukaa juu ya meza na kuendelea kutukana viongozi na yeye kama kiongozi wa kitaifa kwa nini astumikekupunguza mgogoro badala yake anauongeza?

Mpaka tunaenda mitamboni inasemekana ndugu waitara atakuwa na kikao kingine tena kesho baada ya kusambaratisha hichi cha awali cha viongozi wa wilaya na chake kushindwa kukaa.

Taarifa za uhakika zinasema mpaka usiku saa 4 alikuwa kwenye hotel ya nyam,ete akiwa na vijana wapatao 10 wanaosaidiana kuendesha uasi kwa majadiliano yanmayolenga kuandaa kikao kingine kesho saa 5 kwenye ukumbi wa JJ CLUB na inasemekana kabla ya hapo alikuwa eneo la PROMISE BAA akiwa na kikao kingine pia majira ya saa 1 kamili mpaka saa 2 source ni vijana watiifu walionipigia simu na kushikiana kutoa taarifa hizi.

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita vijana hawa wanaoambatana na bwana waitara walifunga ofisi kwa mbao na kuweka sealid kitendo kilicholaaniwa sana na wananchi mbalimbali na wanachama na wadau wa CHADEMA.
 
Mbona hii habari yako kama ya kumponda mtu?
 
Huyu bwana Waitara ni mtu wa vurugu siku zote tangu alipokua pale chuo kikuu cha dar, ninamshauri pia mwenyekiti Mbowe na katibu mkuu Dr Slaa wafuatilie mwenendo wa huyu mtu, huyu ni mtu wa usalama wa taifa yupo kuvuruga chama na kama wanafuatilia vizuri kote alikoenda kutatua migogoro fujo ziliongezeka la karibuni ni hili la Kawe kwa Halima alisababisha mgogoro mkubwa sana,WAITARA ACHA KUHARIBU CHAMA.
 
KATIKA hali ya kuonesha dhamira ya wazi ya kutovumiliana leo majira ya saa 8 katika ofisi ya CHADEMA wilaya ya TARIME kumetokea malumbano kati ya viongozi wa wilaya waliokuwa na kikao cha kawaida cha kujadili maswala ya chama na upande wa nduguMWITA WAITARA AFISA SERA NA UTAFITI CHADEMA MAKAO MAKUU

KIINI CHA MALUMBANO ILIKUWA
ni ndugu WAITARA kuingia katika kikao huku kikiwa kinaendelea na kuhoji uhalali wa kikao hicho kutoongozwa na mwenyekiti aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo ambaye badae alisimamishwa kwa utovu wa nidhamu na kupeleka siri za chama nje ya vikao halali vya chama.

Akiwa anaongea kwa kufoka waitara amewambia viongozi wa wilaya kuwa ametumwa na katibu mkuu kuleta barua na kuhakikisha mwkt anarudi katika nafasi yake jambo ambalo halikukubalika na viongozi baada ya viongozi kuonekana kujenga hoja zao bwana waitara mwita aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo mwaka 2010 aliamua kukaa kwenye meza juu huku akiwa anapiga kelele jambo ambalo lilionekana kuungwa mkono na katibu wa vijana wilaya ndugu hussein abeid na ndugu lucas ngotyo kaimu mwenyekiti wa wilaya aliyedaiwa kusimamishwa na uongozi wa wilaya.

Baadae ikatokea mtafaruku baada ya baadhi ya vijana kuchachamaa wakimtaka ndugu waitara kueleza ni namna gani amekuja kwnye kikao cha kamati tenndaji na wao huku si wajumbe na pia akiwa amelewa?na ni kwa nin i anaamuru watu wake kukaa juu ya meza na kuendelea kutukana viongozi na yeye kama kiongozi wa kitaifa kwa nini astumikekupunguza mgogoro badala yake anauongeza?
mpaka tunaenda mitamboni inasemekana ndugu waitara atakuwa na kikao kingine tena kesho baada ya kusambaratisha hichi cha awali cha viongozi wa wilaya na chake kushindwa kukaa.

Taarifa za uhakika zinasema mpaka usiku saa 4 alikuwa kwenye hotel ya nyam,ete akiwa na vijana wapatao 10 wanaosaidiana kuendesha uasi kwa majadiliano yanmayolenga kuandaa kikao kingine kesho saa 5 kwenye ukumbi wa JJ CLUB na inasemekana kabla ya hapo alikuwa eneo la PROMISE BAA akiwa na kikao kingine pia majira ya saa 1 kamili mpaka saa 2 source ni vijana watiifu walionipigia simu na kushikiana kutoa taarifa hizi.
Mnahangaika sana na ubunge wa familya,mliwakimbia wanachadema kipindi cha uchaguz na uhakikisha jimbo liarudi ccm mkacheka mamba hamjavuka mto,sasa mnaendesha siasa za maji taka mkilazmisha kuungwa mkono kwa nguvu,we uliyeandika hujui chochote kile kuhsu chadema tarime na kama ukaa tarme basi uwelewa wako ni mdogo sana tambua wajumbe harali wa kamat tendaji ni mwita mwikwabe,chrstofa chomete,ghat nyerere,chacha heche,husein obedi,paulo wandoche,kinyanga,elias nyagabona na marwa marumi hawa ndio wajumbe harali wa kikao wengine wote waliobaki hawana uharali wa kuenderea kuitwa wajumbe kama mrs.nyagabona,marwa mroni,nashon,makima,sauti,ngoto na mzee lubogo kasome katiba ili ujue kwanini si wajumbe harali msidanganye watu.
 
Ni vizuri mkigombana lakini mkapatana kuliko kukaa kimya huku mmejaa fundo, yamalizeni jamani tunayo mambo mengi nyeti ya kuzungumzia msitutoe kwenye mada nyeti ya kushindwa kwa form four.
 
ki ukweli tatizo la viongozi wetu wa cdm hawana nidhamu ktk maisha yao

mkuu mtz one naona wewe ni muumini wa nidhamu ya Chenge, Ndugai, Lusinde, Sofia simba, Kawambwa. .....
watoto wako wana hasara kubwa.
 
Last edited by a moderator:
Du, ahsante kwa tarifa. kwel chadema kuna utata hata mie nlshawah kuwa katbu sehem fulan ilibd niachane na siasa za kchama coz daily kla kikao ni malumbano, uhasama na majungu.
 
Sishangai Waitara kulewa na kuvamia kikao, ni mtu wa fujo fujo hivi
 
Leteni CV ya huyo Waitara tuione hapa tujue. Itasaidia sana kujua tuna deal na mtu wa aina gani.
Wadau wenye nazo please do the needful
 
Huyu bwana Waitara ni mtu wa vurugu siku zote tangu alipokua pale chuo kikuu cha dar, ninamshauri pia mwenyekiti Mbowe na katibu mkuu Dr Slaa wafuatilie mwenendo wa huyu mtu, huyu ni mtu wa usalama wa taifa yupo kuvuruga chama na kama wanafuatilia vizuri kote alikoenda kutatua migogoro fujo ziliongezeka la karibuni ni hili la Kawe kwa Halima alisababisha mgogoro mkubwa sana,WAITARA ACHA KUHARIBU CHAMA.

Akuna cha usalama wa taifa ndugu mtu mwenyewe usalama wa taifa wanasema anawasumbua sana
Kitu kilichopo hapa ni weitara kutaka kugombea tarime na heche naye hivyo hivyo na hiii vita ni kati ya mwita na heche
 
Huyu mwenye hii Id ya igwa alianza kuitumia tangu wakati wa uchaguzi wa Bavicha na yeye ametangaza nia ya kugombea tarime kwa hiyo mwenye akili atajuwa yeye ni nani

QUOTE=igwa;5775994]KATIKA hali ya kuonesha dhamira ya wazi ya kutovumiliana leo majira ya saa 8 katika ofisi ya CHADEMA wilaya ya TARIME kumetokea malumbano kati ya viongozi wa wilaya waliokuwa na kikao cha kawaida cha kujadili maswala ya chama na upande wa nduguMWITA WAITARA AFISA SERA NA UTAFITI CHADEMA MAKAO MAKUU

KIINI CHA MALUMBANO ILIKUWA
ni ndugu WAITARA kuingia katika kikao huku kikiwa kinaendelea na kuhoji uhalali wa kikao hicho kutoongozwa na mwenyekiti aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo ambaye badae alisimamishwa kwa utovu wa nidhamu na kupeleka siri za chama nje ya vikao halali vya chama.

Akiwa anaongea kwa kufoka waitara amewambia viongozi wa wilaya kuwa ametumwa na katibu mkuu kuleta barua na kuhakikisha mwkt anarudi katika nafasi yake jambo ambalo halikukubalika na viongozi baada ya viongozi kuonekana kujenga hoja zao bwana waitara mwita aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo mwaka 2010 aliamua kukaa kwenye meza juu huku akiwa anapiga kelele jambo ambalo lilionekana kuungwa mkono na katibu wa vijana wilaya ndugu hussein abeid na ndugu lucas ngotyo kaimu mwenyekiti wa wilaya aliyedaiwa kusimamishwa na uongozi wa wilaya.

Baadae ikatokea mtafaruku baada ya baadhi ya vijana kuchachamaa wakimtaka ndugu waitara kueleza ni namna gani amekuja kwnye kikao cha kamati tenndaji na wao huku si wajumbe na pia akiwa amelewa?na ni kwa nin i anaamuru watu wake kukaa juu ya meza na kuendelea kutukana viongozi na yeye kama kiongozi wa kitaifa kwa nini astumikekupunguza mgogoro badala yake anauongeza?
mpaka tunaenda mitamboni inasemekana ndugu waitara atakuwa na kikao kingine tena kesho baada ya kusambaratisha hichi cha awali cha viongozi wa wilaya na chake kushindwa kukaa.

Taarifa za uhakika zinasema mpaka usiku saa 4 alikuwa kwenye hotel ya nyam,ete akiwa na vijana wapatao 10 wanaosaidiana kuendesha uasi kwa majadiliano yanmayolenga kuandaa kikao kingine kesho saa 5 kwenye ukumbi wa JJ CLUB na inasemekana kabla ya hapo alikuwa eneo la PROMISE BAA akiwa na kikao kingine pia majira ya saa 1 kamili mpaka saa 2 source ni vijana watiifu walionipigia simu na kushikiana kutoa taarifa hizi.

Ikumbukwe kuwa siku chache zilizopita vijana hawa wanaoambatana na bwana waitara walifunga ofisi kwa mbao na kuweka sealid kitendo kilicholaaniwa sana na wananchi mbalimbali na wanachama na wadau wa chadema[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom