Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

Ni bora kuwa na Imani kuliko kujazwa Imani. Najua hata Wahubili wa Kikristu wapo wanaohubili tofauti, lakini si mahubili ya fujo na kutishiana. Ni bora kujua ulikotoka na kuhisia unakoelekea kuliko kukosa vyote. Kwa hili nafikili tujifanye wajinga na kuwatuhumu vijana waliofanya fujo ingawaje twajua chanzo chake nini, sasa tuweke sala zetu kwa vijana waliovamia Kanisa na kufanya uhalibifu kwani uhalisia si Waislamu wote waliofanya fujo hizo na tukimwelekeze Mungu wetu dua hii naamini atatenda maajabu na tusiwaombee dua ya kifo kama wafanyavyo Waislamu wao penye tatizo hupenda kukimbilia dua yao wanayo iamini ALBADRIH (samahani kama nimekosea herufi zake). Bali tusali kwa Upendo mkubwa Mungu atawezesha zaidi. Hivi kweli imani zao hizo zilitoka wapi, aliye zileta ni kama aliyetengeneza pesa, hili ni pepo moja baya sana.

Je ni nani atakayekaa katika kiti cha ufalme wa Mungu?. Bora Imani yenye Upendo kuliko Imani yenye Adhabu
 


Ndugu yangu kumbuka sisi sote ni ndugu TU, WAISLAM ni ndugu zetu, siyo kwa huu ubaya uliyofanywa na wachache ndiyo tugeneralize hivo unavyotaka HAPANA kiongozi, ALLAH NALO NI JINA LA MUNGU LAZIMA TUHESHIMU.

Hata wasingekuja Waarabu au Wazungu wote tungekuwa na dini na hata dini tofauti! chamsingi ni ustaarabu tu
 
Sidhani kama upo sahihi kwa wazo ulilotoa ila sikulaumu kwani naamini ni jinsi upeo wako wa kufikiria ndo umefikia hapo..unafikiria uongozi ukiwa wa kikristo kuna mtu atakubali aonewe au adhalilishiwe dini yake??? never on this earth,,,kila mtu anahaki ya kuabudi kama hujui Tanzania sio nchi ya kidini its a secular country,,,so even if Pengo akiwa Rais am sure 100% hataweza kuchange kitu inaitwa "freedom to worship", in that case waislam walikua wanahaki ya kumind kwani kitendo kilichofanyika kilikua kinadhalilisha dini yao, hata wewe naamini hautapenda mtu akudhalilishie dini yako,,, ubinadamu ni kitu kidogo sana na hamna kitu kinakufanya uwe binadam kama heshima,,, tujaribu kuheshimu dini ya kila mmoja alafu hapo utaona kama kuna kitu cha ajabu kitatokea... kuwa mwenye kufikiria ndo utoe comment sio kukurupuka tu,,unajidhalilisha na kuonekana una upeo mfinyu...Pole kwa hilo,,
 

Hivi wewe unafikiri vizuri kweli? jinsi ambavyo serikali ilivyopambana na hao waislamu tangu saa nne asubuhi hadi saa 12 jioni bado unadai serikali haikuchukuwa hatua thabiti? ulitaka waue halafu mpate kuuza gazeti lenu la cdm kwa heding za "polisi waua tena"? badala muwadai bakwata hasara ww unalia na serikali tu nia yako nini? nchi haitawaliwi kihivyo!
 
Mungu wao ni tofauti na mungu wetu kabisa,maneno ya kwamba mungu wetu ni mmoja ni siasa tu hizi,Haiwezekani na Haitakuja kutokea Mungu wa Wakristo akawa ni sawa na Mungu wa Wauaji na Wevi kama hawa,Ushaona mungu anakutuma ukaibe kinanda na pesa?sikubali na sitakubali!
 
Nyie njaa zinawasumbua tu,mbona mmeiba sadaka na vifaa vya kwaya?au mnataka kuanzisha kwaya na nyie huko msikitini?fanyeni kazi,acheni kulala misikitini kila wakati,jitumeni,someni changieni ujenzi wa shule na maendeleo yenu,mkiendelea kulala misikitini mtaendelea kuwa na wivu na mtaishia kuvamia makanisa,kuiba vifaa vya muziki na sadaka zetu!
 
Punguza jaziba. Mtenda mnajua ni mtoto na yupo Police, Je Makanisa yanaingiaje tena hapo na kuanza kuyashambulia?. Kama kuna ushahidi wa huyo kijana kutumwa na Wakritu si-mngeenda kuutoa kule ili muone kama tusinge waunga mkono kwa kulikemea?. Hii ni Imani ya kulazimishwa siyo Imani halisia. Hapa tunawekana sawa ili maovu yasiendelee ila wengine mnatetea maovu yakue zaidi, hata kiongozi mkubwa wa Kiislamu anaaminisha maandamano yaendelee (Ponda) bila kujua madhara yake au ndo kufia Dini?
 
Mkojo umezua balaa huko mbagala.Watoto wawili mwesilamu na mkristo waliokuwa wakibishana umezua sokombingo baada ya asiyekuwa mwesilamu kumwagia kojo kwenye msalafu.Mwenzake alimwambia ukikojolea utageuka panya,hata hivyo baada ya kumwagia kojo,hakugeuka panya.
 
hapana....hatuendi hivyo....kila mtu ana haki....hatufundishwi katika maandiko kudharaulina....na wala kuingiliana katika imani.....kama ni wakristo wamefanya hivyo....nalaani sana hicho kitendo.....ni wapumbavu.....
dada si ungesoma habari yenyewe in details kabla huja-comment.
 

mimi pia napenda idea hii,
ila ninachosikitika hivi sasa hadi kwenye daladala unapanda unakuta rekodi za mihadhara kukashifu ukristu( ipo siku ilifikia watu ambao nategemea ni wakristu waliamua kufungua nyimbo za dini kwenye simu zao kufuatia kanda iliyowekwa kuwa inakashifu ukristu). Nimekuwa Ikwiriri pale Mkoa wa pwani kwa muda sasa, muda mwingi utakuta video za mihadhara inayokashifu ukristu inaangaliwana kusikilizwa na makundi ya watu, wasikilize (kwenye mihadhara) wanavyoichambua biblia kwamba haifai kabisa,inashangaza sana, hivi na wao wakiamua kujibu itakuwaje, hivi sio mtazamo mdogo kweli huu, maana kama kweli wewe hupendi kuumizwa basi usimuumize mwenzio pia.

Kuna redio pia, muda mwingi inafanya mazungumzo yanayokashifu ukristu, hivi watu hawa wawe na imani gani kuvumilia yote hayo. Mtangazaji wake amefikia kusema eti waislamu ni kama volcano hivyo ni vema Kamanda Kova apige simu haraka kupitia redio yao kuongea na waislam(ni leo -13, Oct 012Jumamosi asubuhi) kuhusiana na suala la Mbagala. Redio inayoonekana inaonyesha wazi njia ya ushindani wa kijinga ambao si salama kwa nchi, Je hilo lililotokea jana ndilo ambalo wanalotaka hasa litokee, kwa nini wasijidhibiti wao kabla. kwanini wasikae kujiimarisha katika dini yao bila kugusa ya mwingine....
kwa nini hawafikirii kuhusu amani ya nchi?.

Sitegemei kama wakristu wangechoma misikiti( mifano ni kuchomwa makanisa zanzibar na matukio kama hayo Tunduru na bado walivumilia) kingetokea kitu kama hicho, kwa nini wao kinatokea, kwa nini wasijiulize wana nini

Hata hivyo, ni madhaifu ya kiongozi, serikali haitakiwi hata siku moja kufumbia macho ujinga kama huu iwe ni kwa waislam au wakristu kwa kuwa ni hatari sana kwa amani (hasa ikizingatiwa kuwa serikali haina dini). Mihadhara inayoonekana ni ya kichochezi ipigwe marufuku kabisa na yeyote anayeonekana kukashifu dini ya mwenzake achukuliwe hatua mara moja kwa ajili ya rasilimali amani ndani ya nchi.

Tutaonekana tuna akili kupigania huduma za jamii kuwa duni au kuibiwa rasilimali za nchi na sio dini. Mungu ibariki Tanzania
 
mi uwa nashangaa sijawai kusikia maandamano sababu ya yesu au mtume wa christian kukashifiwa,uwa tunamuachia mungu yeye ndio ataukumu,lakin wenzetu kitu kidogo maandamano,kuchoma mali na kuua

Aisee naona uko sahihi bado sijasikia hata sehemu moja!
 
Hivi hujui logics za hawa jamaa?
1:Kuzaa sana ili wawe wengi,ndio maana wanaoa mpaka wake wa nne,(na ndio maana walitaka kutambuliwa kuwa wao ni wengi katika sensa sababu wao hawana na hawatumii hata Uzazi wa mapngo so wanahisi wako shazi!
2:Kupambana na wakristo kwa style yoyote ile ili kueneza dini yao
 
hapa kuna shida tena shida au tatizo lenyewe ni kubwa kuliko tunavyolifikiria, kuna kundi hapa linaajenda ya siri.
 
Al shabib, boko haram wote wakristo.. Angalia nchi zenye wakristo wengi hakuna vurugu hata moja .. Nenda huko uarabuni uone kila siku wanavyouana..
kuwa mwislam ni kosa

upeo wako ni finyu sana ndg, kule Northern Island unata kuniambia nao ni waislam? Kule Norway yule kijana wa kigaidi aliyeua wasio na hatia pia alikua muislam. Msitafute vizingizio vya kuwadhalilisha waislam na uislam ili wenywe wa-react then muanze kuwaita majina ya kifedhuli. Huwezi kuchezea imani za watu then ukategemea wenye imani yao wakae kimya.
 
unaonaje unajisikiaje kitendo alichofanya huyo dogo? kwa mtazamo wa mabwege kama wewe ndo mana sis waislam tunaamin kua huyo dogo katumwa au matunda ya mafundisho yenu wakristo yanayo jenga chuki zidi yawaislam na uislam. sas nasubiria jipu litumbuke ili kieleweke
 
hao wanaojiita waislamu kwa kweli wanaleta shida kubwa, Lakini nafikiri tuna usalama wa Taifa na hii ni kazi yao kuzima vituko kama hivi bila kwenda public, au wazee hamupo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…