Vurugu Msumbiji

Vurugu Msumbiji

wachocheee vurugu wenye rasili mali zao wachukue huku wakituuzia vifaa vya kivita
 
Ni Faida ya Ma Bwana wa Demokrasia....watapat pesa za upatanishaji na pia sisi tutaendelea kupiga magoti kwao...Democrasy ni matatizo
 
kwa mtu wa kawaida hata ungeshiriki kubadilisha chama tawala, baada ya mabadiliko hali yako inabakia palepale!
 
kwa mtu wa kawaida hata ungeshiriki kubadilisha chama tawala, baada ya mabadiliko hali yako inabakia palepale!

sawa hali yangu inabaki palepale lakin ninakuwa nimeweka sura mpya na kuondoa mawazo mgando kwamba wao ni watawala wa milele
 
sawa hali yangu inabaki palepale lakin ninakuwa nimeweka sura mpya na kuondoa mawazo mgando kwamba wao ni watawala wa milele

unapata faida gani kama ww si mwanasiasa, unakuwa umebadilisha wine ya zamani na kuweka mpya ktk chupa ileile!, wanansiasa wote wanafanana hakuna ambaye atakukomboa ww binafsi.
 
hiki kirusi cha vurugu zinaanza kuzoeleka ukandaa huu.

Wakati utaelewa maana yake ndio hutawashangaa wale. Kuchakachua kura ni jambo mbovu sana, yaani ina maana kuendelea kuvumilia uongozi mbaya tena kwa miaka mitano, mafisadi wanapora na kujamba.
 
Back
Top Bottom