mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Leo Asubuhi katika kipindi cha amka na BBC kumeripotiwa vurugu kufuatia uchaguzi unao dhaniwa kuwa na udanganyifu, Mungu nusuru Tanzania mwakani
Kwa nini watu walazimishe matokeo?Kama wamechakachua wapigane tu mpaka kieleweke!
Kwa nini watu walazimishe matokeo?
Hilo ni fundisho sahihi kwa watawala hasa wetu hapa bongo.
Ila wanaokufa ni raia hasa watoto na wazee na kina mama, sio watawalaHilo ni fundisho sahihi kwa watawala hasa wetu hapa bongo.
Join Date : 2nd January 2012
Posts : 2,008
Rep Power : 1134
Likes Received 735
Likes Given 0
Chanzo ni wapinzani. Hata tanzania wapinzani ndio huwa chanzo cha vurugu
Kumbe hata matokeo hayajatangazwa wameanza vurugu.Matokeo yatatangazwa kesho au keshokutwa! Tuvute subira mambo yatakwenda vema!
Kumbe hata matokeo hayajatangazwa wameanza vurugu.