assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
da inauma sana, unajua watu ni maskin halaf icho kidogo pia unanyang'anywa.Aisee , waliambiwa lakini kuwa mwaka huu wataisoma ila hawakusikia... kweli acha huu mwaka uishe tu jaman... tumeisoma haswa
ficha ujinga wako, muogope mungu, unazan wanaoteseka pale ni matajiri, ni maskini,wajane,wazee,vikongwe ,watu maskini wakutupwa,inahitajika busara kuwareallocate si kuwakomoaWacha waisome namba eeeh, hata Lowasa angeingia madarakani asingefanya hivi! Chapa lapa Magu mbele kwa mbele sheria ni msumeno!
Tumeyataka wenyewe bna , acha tunyooshwe tuKuna mwana JF humu aliwahi kuleta uzi akasema watakaoisoma namba si Lowasa wala Mbowe. Namkumbuka sana aisee!
Umeonaeeee acha tuisome ni ujinga wetu kupenda kushabikia mamboKuna mwana JF humu aliwahi kuleta uzi akasema watakaoisoma namba si Lowasa wala Mbowe. Namkumbuka sana aisee!
ukishakula buffet yako na kushusha na juice nzito ya maembe huko kwako mbez beach unaona wengine c binadamWote wanaoishi sehemu hatarishi lazima wahame tu..
Hili halina mjadala..
Hii ni kwa manufaa yao wenyewe na kuondoa usumbufu usio wa lazima kwa serikali pindi maafa yanapotokea.
da inauma sana, unajua watu ni maskin halaf icho kidogo pia unanyang'anywa.
Tuseme ukweli wakati wa campaign niliona wanawakeWacha waisome namba eeh,sisiemu mbele kwa mbelee, soundtrack