Vurugu kubwa yatokea Jangwani na Kigogo

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Vijana akinamama, wamegoma nyumba zao kuwekwa X na hivyo Polisi kurusha mabomu.

" Sisi akinamama tunaambiwa si tulimchagua Magufuli sasa tunaisoma namba" alisikika mama mmoja.

My take;
Mh Magufuli ingilia kati hili zoezi tunakoelekea litaleta maafa, busara inahitajika.

Chanzo: Channel ten
 
wananchi wenye hasira wamechoma tair na kuziba barabara ya kigogo na kusababisha foleni kubwa
 
Aisee , waliambiwa lakini kuwa mwaka huu wataisoma ila hawakusikia... kweli acha huu mwaka uishe tu jaman... tumeisoma haswa
da inauma sana, unajua watu ni maskin halaf icho kidogo pia unanyang'anywa.
 
Wacha waisome namba eeeh, hata Lowasa angeingia madarakani asingefanya hivi! Chapa lapa Magu mbele kwa mbele sheria ni msumeno!
ficha ujinga wako, muogope mungu, unazan wanaoteseka pale ni matajiri, ni maskini,wajane,wazee,vikongwe ,watu maskini wakutupwa,inahitajika busara kuwareallocate si kuwakomoa
 
Wote wanaoishi sehemu hatarishi lazima wahame tu..
Hili halina mjadala..
Hii ni kwa manufaa yao wenyewe na kuondoa usumbufu usio wa lazima kwa serikali pindi maafa yanapotokea.
 
Wote wanaoishi sehemu hatarishi lazima wahame tu..
Hili halina mjadala..
Hii ni kwa manufaa yao wenyewe na kuondoa usumbufu usio wa lazima kwa serikali pindi maafa yanapotokea.
ukishakula buffet yako na kushusha na juice nzito ya maembe huko kwako mbez beach unaona wengine c binadam
 
et Lowasa ataisoma namba??? et Mboee ataisoma namba???? wakarejea kusema Duni Haji ataisoma namba! hawakuishia hapo Et UKAWA wataisoma namba! Nadhani kwa macho yao WAP ndo wanazisoma hizo namba
 
Zoezi hili halijapangwa vizuri.watoto wa shule.wanaendaje shule maaana maisha yatakuwa ya kuhamahama ,serikali kama baba lazima ijue watu wake wanaenda wapi,haiwezekani mambo yakaenda kiolela olela tu
 
Back
Top Bottom