Vurugu kubwa Arusha!!

Hawa machalii bana kwa hapo WOTE NI CHAMA CHA SIHASA imekuwaje mpaka sasa hakuna aliyepigwa na kitu chenye ncha?? Ngoja waje wazee wakozi kutoka mkoa jirani
 
Hao FFU hawajaanza kutumia "flying objects" kama ile yaliyoitumia kwa muuza magazeti morogoro?
 
Hapo kwenye red Mkubwa! Tunakusubiria!
 
awa polisi kiboko yao ni Ponda tu,leo kawaweza na walikusanyika bila kibali wala nini!wangedhubutu waone.
hao machinga wanaonewa tu
 
Nasubiri kesho kuambiwa chadema walianzisha fujo ili eneo wawe wanafanyia mikutano yao
 
Hiyo ni akili ya magamba ya kutaka kutengeneza fitina na kuwayumbisha machalii walio katika shughuli zisizo katika sekta isiyo rasmi.lakini time wil tell na lile bomu mliokuwa mnasema litalipuka hiyo ndo dalili zake.
 
Bila shaka tunajuana!! Ha ha ha ha ha ha ha haaaa!!
Alafu asubuhi ya leo kama nilikuona kwa mbali pale maeneo ya METROPOLE?anyway mie nipo hapa maeneo fulani ya SAKINA,nipo na machalii but baada ya nusu saa hivi tutakua pale PICNIC tukilamba kichwa ya mbuzi chalii,kama vp utanibip ili nikupe offer ya nyama choma,maana nakujua wewe kwa nyama choma ni balaa tupu.
 
Mkubwa! Kwa muda ule pale nikuja kuchukua mtungi wa gesi! Na kwa muda huu nipo hapa NAROK PUB post na Kambi ya Fisi kwa juu kidogo kama unatokea Ngarenaro kuelekea Technical College!

Ukifika unipe PM! Ntakuona! Ha ha ha ha ha ha haaaaaa!!
 
Ha ha ha haaa!
Sasa leo seven seven huendi?si kuna BAKURUTU leo au?sie tutatia timu mitaa hiyo ya 7x7 mida ya saa 5 hivi.Kama vp tukutane kule basi ili tutafune japo mishikaki mkuu.
 
Mkubwa! Hapo 7up nimetoka pale kumi na moja nilipopata supu kama unavyojua anga hiyo kwa supu na bila shaka sirudi tena hapo kwa leo!

Ntakuseach next week kwn majaliwa ntakuwa nje ya Nchi na sitakuwa na chanzi ya kuingia jamvini Mkubwa!
Na mara nikitua ntakuambia bila ya kukosa!
Uwe na wakati mzuri hapo ulipo Mkubwa wangu!

Ha ha ha haaa!
Sasa leo seven seven huendi?si kuna BAKURUTU leo au?sie tutatia timu mitaa hiyo ya 7x7 mida ya saa 5 hivi.Kama vp tukutane kule basi ili tutafune japo mishikaki mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…