Vurugu kati ya CHADEMA na CUF juu ya USHOGA zasababisha Bunge kuahirishwa

Akili za kushikiwa hizo pumbafu zako!!! bungeni ni sehemu ya kutukanana sasa,,,,,,
Badae wenje atakuja aseme mashoga ni nyie cdm sijui kama utakubali na hilo naloo....
sio kila kitu chama chako inachokifanya unashabikia tuu, mengine uyapime ndugu yanguuu....

CUF wanasema wao hawajabisha kuhusu kuhusishwa na ushoga, ila wanamuomba Wenje ''awatunzie heshima kidogo waliyobaki nayo''......ngoma imegoma, CCM wameshindwa kumtetea mke, hakuna kugonga mzigo leo night

Ukikaribia waridi unanukia waridi.....sasa jiulize CUF wananukia nini kama sio jicho
 
Wanajf,
kwa MTAZAMO wangu kilichotokea Bungeni cha chama cha CHADEMA kukishambulia moja kwa moja chama cha wananchi CUF ni POLITICAL strategies za CHADEMA kulingana na sababu zifuatazo!

-CUF wameshaonyesha dhahiri kuwa sio chama cha upinzani hasa baada ya mwenyekiti wao kukiri wazi kuwa alimpa jk kura zake ili aweze kushinda 2010
-CUF kwa upande wa zanzibar sio wapinzani tena bali wameshakubai kufunga ndoa na CCM kwa hiyo kwa vyovyote vile CUF ni sawa tu na CCM
-Mwanyekiti wa CUF alisema kuna chama kimoja cha upinzani(bila shaka alimaanisha CHADEMA) kinafadhiliwa na nchi za magharibi ili kuchukua gesi ya watu wa kusini.

Kwa hiyo kutokana na hayo hapo juu,
-CHADEMA wameamua kuonesha sura halisi ya CUF mbele ya jamii
-CHADEMA wameamua kuwanyamazisha CUF kwenye hoja kuwa kuna chama kinafadhiliwa toka nje ya nchi wakati CUF wenyewe wanapata msaada hukohuko tena kwa vyama vyenye itikadi ya kiliberali
-CHADEMA wameamua rasmi kuwachanganya CUF CCM pamoja kwenye harakati zao za kisiasa kwa kuwa wote waliwezesha serikali iliyopo kuwa madarakani!
-kuna uwezekano mkubwa 2015 CCM kushirikiana na CUF ili kuingia madarakani tena!

So kwa mtazamo wangu CHADEMA wameona the solution ni kuvidhoofisha vyote viwili CCM ili vikiamua kushirikiana iwe wazi na sio kwa siri kama pale awali maana najua kuna wanachama wa CUF wasingependa kusikia kuwa kura zao zimepewa mgombea wa CCM so CUF kushirikiana rasm na CCM kutawapunguzia nguvu na CHAMA cha upinzani chenye nguvu kubakia CHADEMA tu!
 
Huu sio muda wa kukaa na kuimba siasa chafu na zisizo na tija wakati kazi kubwa mbele ni kuiondoa ccm madarakani,

Chadema lazima itambue siasa ambazo wao wanastahili kuzifanya kwa sasa ni siasa za kujali sera zao na kutoa elimu zaid kwa watanzania walalahoi na kuwapelekea zaid ujasiri na kuwajengea iman kwa utawala wao wanaoudhamiria kuanzia mwaka 2015,
Chadema inapoanza sasa kutafuta kujenga taharuki na uadui na wapinzani wenzao wanajenga hali ya labda labda pia kwa wale wananchi wanaoiangalia kwa jicho la matumain...

Chadema inapaswa kutambua muda uliobakia hadi 2015 ni mchache sana,kazi ambayo wao wanayo ya kuifanya ni kubwa na si kujiingiza katika malumbano yasiyo na tija??kulikuwa kuna haja gani??

Mbona hatujawahi waskia CUF wakisema ya kwamba CHADEMA Ni chama cha ukabila na udini kama wanavyosema CCM??

Chadema imekubali divide and rule ya CCM??

Upumbavu huu...
THE BIG SHOW

Nadhani unayumba hapa, punguza munkari.
Mimi siko chama chochote ila naona Chadema wana haki ya kufanya waliyofanya. Why? Uliona Lipumba (Mwenyekiti wa CUF) alivyowasemea vibaya kwenye ile video? Kuwa wao wanapokea misaada toka nchi za Magharibi na aka imply kuwa watauza mali zetu kwa wageni na pengine kufanya ndivyo sivyo kwa Waislam. Kifupi aliwachafua mbele ya waamini wa Uislam.

Kumbuka Chadema wanazitaka kura za Waislam pia ili washinde. Wangefanyaje? Wakienda mskitini kujibu mapigo watakuwa wamevaa kanzu badala ya kushika mic (lugha ya picha hiyo). Walichofanya ni kuwaonesha wananchi wote wakiwemo waliodanganywa kuwa si tu CUF wanashirikiana na mataifa hayo kama ambavyo Wao Chadema, CCM wanafanya, ila wao CUF wanashirikiana na watu ambao kwa mtazamo wa Kiislamu ni hatari zaidi.

Mimi nahesabu CUF wamekosa mweledi maana ilikuwa case ndogo tu ya kukubali kuwa wana mrengo huo ila wao hawa support ushoga au kitu kama hicho. Na wangeenda mbali kuonesha kwa vitendo, mchezo ungeishia hapo.

Kwa hiyo ni vita ya kisiasa hii kila mtu akitaka ku-survive!
 
Last edited by a moderator:
Hawajawalipua bali wamesema ukweli. Acha upotoshaji. Mtazamo wako siyo sahihi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tatizo la wabunge wa CUF ni unafiki, ni juzi tuu mwezi huu wa nne wabunge 3 wa Cuf walienda kwenye mkutano wa maliberali , nao ni
Habib Mnyaa
Magdalena Sakaya
IBrahimu Sanya

leo walikuwa nao wanajifanya hawajui jambo hilo?
 
Mkuu.
Umepoteza uhalali wa kujadiliana na mimi kwa lugha ya staha ambayo ndio utamaduni wa kujenga na kubomoa hoja kinzani. Sijafunzwa utamaduni wa mijadala kwa lugha zisizo na staha.

Naomba kwa heshima na taadhima uendelee kujadiliana na wengine ambao mnaelewa aina ya lugha mtakazo tumia.
Pole sana kiongozi, kuna kundi kubwa sana la wahuni humu ndani, wao badala ya kupangua hoja kwa hoja. Wao wanapangua hoja kwa kuvurumusha matusi au lugha zisizo na staha mbele ya jamii. Kwa kweli watu hao ni kuwaepuka tu maana mwisho wa siku wanaweza wakakufanya na ww uonekane ni kama wao.
 
umenena vema mkuu hata na mimi nimeelewa hivyo cdm inataka kuiweka kapu moja cuf na ccm ili waishughulikie vizuri,ninachokiona cuf itakufa.
 
chadema mmejipanga, mnasimamia ukweli na uwazi.

hawa CUF kila siku wanaisema chadema kuwa ni cha kimagharibi kumbe na wao wanakula pesa za kishoga tena toka magharibi hukohuko.!!!
 
naona mashekhe wamekelwa na kuhusishwa na ushoga,swali je cuf wao wako mlengo upi?je nikweli wako mlengo wa uliberal
 
kuna mkakati mzito unaandaliwa kulishtaki bunge kwa kuruhusu watu na taasisi mbalimbali nchini tanzania kuzushiwa tuhuma zisizo na uthibitisho ambao kiti cha spika kilipaswa kuomba uthibitisho wa tuhuma mbalimbali ili ibakikwenye hansard lakini kiti kimekuwa kikiacha tu na madai yao hawa jamaa yanaweza kutakiwa kulipwa madai ya kuchafuliwa kwao ambayo yanaweza kuwa sawa na gharama za kuendeshea vikao vitatu vya bunge la bajeti kima cha siku hukumu itakavyotolewa kwani watu na taasisi zilizochafuliwa bila kuwa na vithibitisho zinadai hawa ni wawakilishi wa wananchi wa tanzania sasa ili kusafishwa inabidi uitishe vikao vye jina kama bunge la bajeti ni sawa mtu akikuchafua katika ukurasa wa mbele ya gazeti inabidi gazeti liombe radhi kupitia ukurasa wa mbele au mtu akileta mahakamani ushahidi wa uwongo anaweza yeye fungwa badala ya mwenye kosa halisi. Kaeni sawa msihofu mnaochafuliwa haki yenu ipo tu kwani hansard hazifutiki.
 
CUF walijipanga kuwaita CHADEMA mashoga huko Mtwara wakati wa M4C ziara ya CHADEMA.

Please follow the link below ujionee. kwenye hiyo habari utaona kiongozi wa Kijiji wa CUF anauliza swali la kuonesha CHADEMA wanashabikia ushoga.

Link; CHADEMA yataka kauli ya JK kuhusu ushoga

Sasa leo ngoma imewarudia kwa ushaidi wa mikataba ya CUF kuingia Liberal Internatona.
 
Sasa unadhani ujinga kama huu utaikomboa nchi? Badala ya maswali ya kuleta maendeleo tunaleta ujinga na mambo ya kufikirika. Shame on us.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hii ya CUF itawachanganya wengi, poleni waathirika ndio siasa hiyo.!!
 
Huu sio muda wa kukaa na kuimba siasa chafu na zisizo na tija wakati kazi kubwa mbele ni kuiondoa ccm madarakani,

Chadema lazima itambue siasa ambazo wao wanastahili kuzifanya kwa sasa ni siasa za kujali sera zao na kutoa elimu zaid kwa watanzania walalahoi na kuwapelekea zaid ujasiri na kuwajengea iman kwa utawala wao wanaoudhamiria kuanzia mwaka 2015,
Chadema inapoanza sasa kutafuta kujenga taharuki na uadui na wapinzani wenzao wanajenga hali ya labda labda pia kwa wale wananchi wanaoiangalia kwa jicho la matumain...

Chadema inapaswa kutambua muda uliobakia hadi 2015 ni mchache sana,kazi ambayo wao wanayo ya kuifanya ni kubwa na si kujiingiza katika malumbano yasiyo na tija??kulikuwa kuna haja gani??

Mbona hatujawahi waskia CUF wakisema ya kwamba CHADEMA Ni chama cha ukabila na udini kama wanavyosema CCM??

Chadema imekubali divide and rule ya CCM??

Upumbavu huu...

Mkuu u r wrong!! CUF hata siku moja hawajawahi kuwa upande wa CDM bungeni hata siku moja all the time mwamekuwa upande wa CCm tena kwa kuwatukana CDM isitoshe mkuu utasemaje CUF upinzani wakati wameungana na CCM? Jamaa wamebanwa pabaya wajibu hoja waache kutoa povu!! Mijitu imekaa bungeni haijui mrengo wa chama chao ha ha ha
 
.........Kwa kweli akili yangu inaniambbia kwamba... CUF sio chama cha upinzani
 
Wajanja hao wamelianzisha ili spika awape nafasi wakapige misele mitaani Chezea siasa za bongo wee ..


Duh nadhani Wenje anapoint chamsingi CUF wakanushe tu kama mlengo wao sio wa kiliberal ndo jamaa ataomba msamaha vinginevyo busara za babu ngoswe zinahusika
 
Back
Top Bottom