Vunjabavu mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!

Vunjabavu mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,480
Reaction score
946
Mwizi acha atoe mpya mahakamani baada yakusomewa mashtaka yake yanayomkabili kuhusu wizi wa "SIMU" basi akapewa nafac ya kujitetea na mambo yakawa hivi;
MTUHUMIWA; mm nilikua napita zangu sina hili wala lile nikasikia sauti ikitoka kwenye SIMU ikiniita kwa upole ikitaka nionyeshe hisia zangu huku ikiniambia "NIBEBE NIBEBE UNICHUKUE UNIBEBE MIKONONI MWAKO NIWE SALAMA" sasa mimi nikaona kama simu yenyewe inaniambia niibebe halafu istoshe inaniambia mikononi mwangu itakua salama(halali) n, nikaona nisipoichukua nitakua sijatenda wema.
HAKIMU; akabaki anaangua kicheko.
Je ungemuhukumu vp huyu jamaa? 2meni maoni yenu wanajf.
 
Angechapwa viboko viwili halafu akaachiwa huru.
 
Hyo kesi inafaa hakimu angekua mmoja kati ya wale wa Tundu lissu
 
Hyo kesi inafaa hakimu angekua mmoja kati ya wale wa Tundu lissu

ungeona jinc ambavyo mtu anavyokipatapata mpaka anajutaaaa ni kwaajili gani aliueleza ukweli wake.
 
Unamwacha huru hana kosa alifuata hisia za simu ingawa nitamwambia next tym aombe ruhusa ya mwenye cm kuwa cm yake inataka aichukue
 
Unamwacha huru hana kosa alifuata hisia za simu ingawa nitamwambia next tym aombe ruhusa ya mwenye cm kuwa cm yake inataka aichukue

Wewe lazima nikupeleke ustawi wa jamii maana unaushauri wakujenga fikra za watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom